Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Siyo Utoto mitandaoni, Mr Slim is pretty dangerous!

Kwanini Tanzania imejiondoa katika mkataba wa kuwahifadhi wakimbizi na hatimae kuwapatia uraia ???.
 
afu mi najiuliza hivi kwa nini wakenya na wanyarwanda wanatuchukia sana sisi wabongo???afu ukiangalia wamejazana kinoma huku dar!!

Rwandese ni 1 ya jamii haijawaikua na shobo na mtu yeyote hasa mwafrica we live with our ego tafuta pa kupunguzia kuisoma namba kama wamejaa Dsm why dont u chase them to their home kama walivofanya south africa shame on u mtz.
 
Rwandese ni 1 ya jamii haijawaikua na shobo na mtu yeyote hasa mwafrica we live with our ego tafuta pa kupunguzia kuisoma namba kama wamejaa Dsm why dont u chase them to their home kama walivofanya south africa shame on u mtz.
hamna shobo sasa ulikuwa unafanya nn bongo?? huko dakar unafanya nn?? si ungebaki kwenu upambane na kagame?? it seems wewe si mnyarwanda kama unavyotuamisha hapa!!wengi wao walikuja kama wakimbizi huku bongo na tunakaa nao sana tu huku tandale,vingunguti huku wamejazana ile mbaya,afu wengi wao wanajificha kwenye makanisa ya kisabato yan wamekuwa kama wabongo tu!!hii ndo Tanzania hatuna haja ya kuwatimua kama mnamind kutuponda tupondeni tu!! kama kutuchora mtuchore tu fresh!!wewe tu ila wenzako wana heshima sana na Tz yetu...!!(we mwenyewe bongo unaikubali ila unajikuta mzalendo na Rwanda yako) au siyo???
 
Ofcorse you should have to be proud of your country.niweweseke tena wewe si mzima kichwani.unatumia mmea nini.

Pambana na hali yako subirieni reli ya umeme labda wa powerbank na Ela za makinikia
 
Hao malaya wana ID au passport nini mnajitekenya na kucheka chezea Rwandese.
aahhaaaa poa mi ndo maana nimekuambiaje siku ukidondoka bongo we nicheck tu...!!kuna wanyarwanda kibao tuu tena wanaipenda Rwanda yao kuzidi wewe!!
 
Back
Top Bottom