Siziamini takwimu za idadi ya waliouliwa kwenye maandamano

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Iko hivi….

Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu.

Sasa jana huyo Chande kasema tume yake imehesabu watu 518 ndo waliouliwa.

Naamini huo ni uongo. Naamini idadi kamili ni kubwa sana kuzidi hiyo ya 500 na ushee.

Lakini kwa vile ushahidi wa mauaji yao upo nwingi, ni dhahiri, na usiopingika, wameshindwa kabisa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa.

Pia, naamini kwamba, baada ya kushindwa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa, imewabidi tu waje na idadi flani ambayo haitowashitua sana wananchi.

Hivyo, ndo wakafikia uamuzi wa kuja na hiyo idadi ambayo haitishi sana wala kushitua kivile.

Idadi ya waliouliwa naamini ni kubwa sana kuizidi hiyo iliyotangazwa.

Na msinielewe vibaya, roho za watu 518 si chache hizo. Tunazungumzia binadamu hapa.

Kwa jinsi walivyojaribu, imewawia vigumu sana kulikwepa hili suala zima la wauaji. Wamebaki kujiumbia tu takwimu wazijuazo wao wenyewe.

ICC karibuni sana Tanzania. Sina shala mtapokelewa vizuri sana na Watanzania wote wapendao haki na mtapata ushirikiano wa kutosha kabisa kutoka kwa Watanzania.
 
Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu

Wamesema kuna vifo 518 nchi nzima
Wakasema vimetoka mikoa ya

Dar. 182
Mwanza 90
Mbeya. 80
Arusha. 53

Jumla 405

Hii ni tofauti na 518 kwa 113 , hili gap ni kubwa sana ina maana namba ilitugwa tu

Kisha wakasema kuhusu maiti ni 518

Maiti zilizotambulika. 485
Ambazo hazikutambulika. 9
Jumla. 494

Kuna tofauti ya 518 - 494 = 24

Ina maana maiti 24 zimepotea ni gap kwenye report

Hii ni report wamekaa nayo kwa siku 153 inatoka ikiwa na makosa makubwa hivi

Hii ni ishara wametengeneza report tena bila umakini wowote
 
Siku ya kufa nyani Mkuu. Hakuna aliyewahi kupambana na mabadiliko na mahitaji ya lazima ya wakati akashinda. NEVER!
 
Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu

Wamesema kuna vifo 518 nchi nzima
Wakasema vimetoka mikoa ya

Dar. 182
Mwanza 90
Mbeya. 80
Arusha. 53

Jumla 405

Hii ni tofauti na 518 kwa 113 , hili gap ni kubwa sana ina maana namba ilitugwa tu

Kisha wakasema kuhusu maiti ni 518

Maiti zilizotambulika. 485
Ambazo hazikutambulika. 9
Jumla. 494

Kuna tofauti ya 518 - 494 = 24

Ina maana maiti 24 zimepotea ni gap kwenye report

Hii ni report wamekaa nayo kwa siku 153 inatoka ikiwa na makosa makubwa hivi

Hii ni ishara wametengeneza report tena bila umakini wowote
Wamezoea kupika data , hata ushindi wa kupika ati Samia alishinda kwa 98%.
Uongo ni kazi ya Ibilisi.
 
Iko hivi….

Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu.

Sasa jana huyo Chande kasema tume yake imehesabu watu 518 ndo waliouliwa.

Naamini huo ni uongo. Naamini idadi kamili ni kubwa sana kuzidi hiyo ya 500 na ushee.

Lakini kwa vile ushahidi wa mauaji yao upo nwingi, ni dhahiri, na usiopingika, wameshindwa kabisa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa.

Pia, naamini kwamba, baada ya kushindwa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa, imewabidi tu waje na idadi flani ambayo haitowashitua sana wananchi.

Hivyo, ndo wakafikia uamuzi wa kuja na hiyo idadi ambayo haitishi sana wala kushitua kivile.

Idadi ya waliouliwa naamini ni kubwa sana kuizidi hiyo iliyotangazwa.

Na msinielewe vibaya, roho za watu 518 si chache hizo. Tunazungumzia binadamu hapa.

Kwa jinsi walivyojaribu, imewawia vigumu sana kulikwepa hili suala zima la wauaji. Wamebaki kujiumbia tu takwimu wazijuazo wao wenyewe.

ICC karibuni sana Tanzania. Sina shala mtapokelewa vizuri sana na Watanzania wote wapendao haki na mtapata ushirikiano wa kutosha kabisa kutoka kwa Watanzania.
Sasa mtu kama wewe usipoamini kipi kinabadilika

USSR
 
Na maelekezo yalitolewa tangu jana, kwamba hakutakiwi kuombwa hiyo ripoti

Ni ripoti ya Rais

Na kwa mujibu wa sheria zetu, anayetakiwa kutoa takwimu ni Serikali kupitia taasisi zake

Kwahiyo wewe mwingine ukija na takwimu zako, utaulizwa umezitoa wapi na kwa mamlaka yapi
 
Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu

Wamesema kuna vifo 518 nchi nzima
Wakasema vimetoka mikoa ya

Dar. 182
Mwanza 90
Mbeya. 80
Arusha. 53

Jumla 405

Hii ni tofauti na 518 kwa 113 , hili gap ni kubwa sana ina maana namba ilitugwa tu

Kisha wakasema kuhusu maiti ni 518

Maiti zilizotambulika. 485
Ambazo hazikutambulika. 9
Jumla. 494

Kuna tofauti ya 518 - 494 = 24

Ina maana maiti 24 zimepotea ni gap kwenye report

Hii ni report wamekaa nayo kwa siku 153 inatoka ikiwa na makosa makubwa hivi

Hii ni ishara wametengeneza report tena bila umakini wowote
Hesabu hii haina tofauti na wakati wa uchaguzi, mara nyingi tunaona wanavyoboronga lakini si Tume wala Mahakama wanaoleta majibu sahihi. Kwa hili hatushangai Nchi ya kipuuzi, viongozi wapuuzi hata takwimu ni za kipuuzi.
 
Si mlisema kwanzia tume hamuiamini vipi sahivi mnajadili report ya tume ambayo hamkuikubali tangu mwanzo? Au sahivi tume mmeiamini ila report yake ndo hamuiamini?
 
Nilipenda pale chande alipo kwepa kiunzi Cha makaburi ya halaiki alisema kwamba taarifa zile za CNN hazikuthibitishwa
Hii inamaana kwamba hakupinga uwepo au kutokuwepo kwa makaburi hayo ya halaiki na ikitokea wenye uwezo wa kuthibitisha wakaruhusiwa maana yake wanaweza kuja na uthibitisho kwamba makaburi hayo yapo.

Ngoma bado mbichi na lazima iondoke na watu.
 
Iko hivi….

Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu.

Sasa jana huyo Chande kasema tume yake imehesabu watu 518 ndo waliouliwa.

Naamini huo ni uongo. Naamini idadi kamili ni kubwa sana kuzidi hiyo ya 500 na ushee.

Lakini kwa vile ushahidi wa mauaji yao upo nwingi, ni dhahiri, na usiopingika, wameshindwa kabisa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa.

Pia, naamini kwamba, baada ya kushindwa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa, imewabidi tu waje na idadi flani ambayo haitowashitua sana wananchi.

Hivyo, ndo wakafikia uamuzi wa kuja na hiyo idadi ambayo haitishi sana wala kushitua kivile.

Idadi ya waliouliwa naamini ni kubwa sana kuizidi hiyo iliyotangazwa.

Na msinielewe vibaya, roho za watu 518 si chache hizo. Tunazungumzia binadamu hapa.

Kwa jinsi walivyojaribu, imewawia vigumu sana kulikwepa hili suala zima la wauaji. Wamebaki kujiumbia tu takwimu wazijuazo wao wenyewe.

ICC karibuni sana Tanzania. Sina shala mtapokelewa vizuri sana na Watanzania wote wapendao haki na mtapata ushirikiano wa kutosha kabisa kutoka kwa Watanzania.
Kwenye hiyo idadi hajataja Geita,Katoro,Kahama,Tarime,Musoma
 
Kaka Nyalandu anasema Tume ilitembela familia zilizopotelewa na kupata misiba zaidi ya 1300, je kwanini report inasema ni 500 tu waliouwawa?
 
Aise

Ova
 
Attachments

  • Screenshot_20260424_100713_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20260424_100713_WhatsApp.jpg
    99.6 KB · Views: 27
Iko hivi….

Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu.

Sasa jana huyo Chande kasema tume yake imehesabu watu 518 ndo waliouliwa.

Naamini huo ni uongo. Naamini idadi kamili ni kubwa sana kuzidi hiyo ya 500 na ushee.

Lakini kwa vile ushahidi wa mauaji yao upo nwingi, ni dhahiri, na usiopingika, wameshindwa kabisa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa.

Pia, naamini kwamba, baada ya kushindwa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa, imewabidi tu waje na idadi flani ambayo haitowashitua sana wananchi.

Hivyo, ndo wakafikia uamuzi wa kuja na hiyo idadi ambayo haitishi sana wala kushitua kivile.

Idadi ya waliouliwa naamini ni kubwa sana kuizidi hiyo iliyotangazwa.

Na msinielewe vibaya, roho za watu 518 si chache hizo. Tunazungumzia binadamu hapa.

Kwa jinsi walivyojaribu, imewawia vigumu sana kulikwepa hili suala zima la wauaji. Wamebaki kujiumbia tu takwimu wazijuazo wao wenyewe.

ICC karibuni sana Tanzania. Sina shala mtapokelewa vizuri sana na Watanzania wote wapendao haki na mtapata ushirikiano wa kutosha kabisa kutoka kwa Watanzania.
Unaweza ukaja na za kwako Ili utimize matakwa ya bwana zenu.
 
Tunduma peke yake ambayo hakuitaja kwenye ripoti yake ni zaidi ya watu 1000.
 
Back
Top Bottom