Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Siku ya kufa nyani Mkuu. Hakuna aliyewahi kupambana na mabadiliko na mahitaji ya lazima ya wakati akashinda. NEVER!Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu
Wamesema kuna vifo 518 nchi nzima
Wakasema vimetoka mikoa ya
Dar. 182
Mwanza 90
Mbeya. 80
Arusha. 53
Jumla 405
Hii ni tofauti na 518 kwa 113 , hili gap ni kubwa sana ina maana namba ilitugwa tu
Kisha wakasema kuhusu maiti ni 518
Maiti zilizotambulika. 485
Ambazo hazikutambulika. 9
Jumla. 494
Kuna tofauti ya 518 - 494 = 24
Ina maana maiti 24 zimepotea ni gap kwenye report
Hii ni report wamekaa nayo kwa siku 153 inatoka ikiwa na makosa makubwa hivi
Hii ni ishara wametengeneza report tena bila umakini wowote
Wamezoea kupika data , hata ushindi wa kupika ati Samia alishinda kwa 98%.Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu
Wamesema kuna vifo 518 nchi nzima
Wakasema vimetoka mikoa ya
Dar. 182
Mwanza 90
Mbeya. 80
Arusha. 53
Jumla 405
Hii ni tofauti na 518 kwa 113 , hili gap ni kubwa sana ina maana namba ilitugwa tu
Kisha wakasema kuhusu maiti ni 518
Maiti zilizotambulika. 485
Ambazo hazikutambulika. 9
Jumla. 494
Kuna tofauti ya 518 - 494 = 24
Ina maana maiti 24 zimepotea ni gap kwenye report
Hii ni report wamekaa nayo kwa siku 153 inatoka ikiwa na makosa makubwa hivi
Hii ni ishara wametengeneza report tena bila umakini wowote
Sasa mtu kama wewe usipoamini kipi kinabadilikaIko hivi….
Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu.
Sasa jana huyo Chande kasema tume yake imehesabu watu 518 ndo waliouliwa.
Naamini huo ni uongo. Naamini idadi kamili ni kubwa sana kuzidi hiyo ya 500 na ushee.
Lakini kwa vile ushahidi wa mauaji yao upo nwingi, ni dhahiri, na usiopingika, wameshindwa kabisa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa.
Pia, naamini kwamba, baada ya kushindwa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa, imewabidi tu waje na idadi flani ambayo haitowashitua sana wananchi.
Hivyo, ndo wakafikia uamuzi wa kuja na hiyo idadi ambayo haitishi sana wala kushitua kivile.
Idadi ya waliouliwa naamini ni kubwa sana kuizidi hiyo iliyotangazwa.
Na msinielewe vibaya, roho za watu 518 si chache hizo. Tunazungumzia binadamu hapa.
Kwa jinsi walivyojaribu, imewawia vigumu sana kulikwepa hili suala zima la wauaji. Wamebaki kujiumbia tu takwimu wazijuazo wao wenyewe.
ICC karibuni sana Tanzania. Sina shala mtapokelewa vizuri sana na Watanzania wote wapendao haki na mtapata ushirikiano wa kutosha kabisa kutoka kwa Watanzania.
Hesabu hii haina tofauti na wakati wa uchaguzi, mara nyingi tunaona wanavyoboronga lakini si Tume wala Mahakama wanaoleta majibu sahihi. Kwa hili hatushangai Nchi ya kipuuzi, viongozi wapuuzi hata takwimu ni za kipuuzi.Report ya Chande imepikwa na watu wasiojua hesabu
Wamesema kuna vifo 518 nchi nzima
Wakasema vimetoka mikoa ya
Dar. 182
Mwanza 90
Mbeya. 80
Arusha. 53
Jumla 405
Hii ni tofauti na 518 kwa 113 , hili gap ni kubwa sana ina maana namba ilitugwa tu
Kisha wakasema kuhusu maiti ni 518
Maiti zilizotambulika. 485
Ambazo hazikutambulika. 9
Jumla. 494
Kuna tofauti ya 518 - 494 = 24
Ina maana maiti 24 zimepotea ni gap kwenye report
Hii ni report wamekaa nayo kwa siku 153 inatoka ikiwa na makosa makubwa hivi
Hii ni ishara wametengeneza report tena bila umakini wowote
Kwenye hiyo idadi hajataja Geita,Katoro,Kahama,Tarime,MusomaIko hivi….
Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu.
Sasa jana huyo Chande kasema tume yake imehesabu watu 518 ndo waliouliwa.
Naamini huo ni uongo. Naamini idadi kamili ni kubwa sana kuzidi hiyo ya 500 na ushee.
Lakini kwa vile ushahidi wa mauaji yao upo nwingi, ni dhahiri, na usiopingika, wameshindwa kabisa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa.
Pia, naamini kwamba, baada ya kushindwa kukana kuwa hakuna mtu aliyeuliwa, imewabidi tu waje na idadi flani ambayo haitowashitua sana wananchi.
Hivyo, ndo wakafikia uamuzi wa kuja na hiyo idadi ambayo haitishi sana wala kushitua kivile.
Idadi ya waliouliwa naamini ni kubwa sana kuizidi hiyo iliyotangazwa.
Na msinielewe vibaya, roho za watu 518 si chache hizo. Tunazungumzia binadamu hapa.
Kwa jinsi walivyojaribu, imewawia vigumu sana kulikwepa hili suala zima la wauaji. Wamebaki kujiumbia tu takwimu wazijuazo wao wenyewe.
ICC karibuni sana Tanzania. Sina shala mtapokelewa vizuri sana na Watanzania wote wapendao haki na mtapata ushirikiano wa kutosha kabisa kutoka kwa Watanzania.
Iko hivi….

Unaweza ukaja na za kwako Ili utimize matakwa ya bwana zenu.Iko hivi….

Tunduma peke yake ambayo hakuitaja kwenye ripoti yake ni zaidi ya watu 1000.Iko hivi….

Hawa wajinga wanajikanyaga sana.Kaka Nyalandu anasema Tume ilitembela familia zilizopotelewa na kupata misiba zaidi ya 1300, je kwanini report inasema ni 500 tu waliouwawa?