do! lakini inayonikuna sana na naiona maana yake ni lile shahiri la kama mnataka mali mtaipata shambani ipo kwenye ukurasa wa 33!
nakini tunajifunza nini kwa vitabu hivi! binafsi natamani serikali ifikilie kuvitoa tena hata kama havitumiki kwa sasa watu tununue kwa kumbukumbu zetu
makumbusho si lazima viwe vya kale tu tuangalie taaluma zetu pia. nikiwa naandika msg hii wasomi wa sasa wa darasa la nne wanapita wanasimuliana malimaaaaaaa
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, nakutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli, iwafae maishani.
Akatamka mgonjwa, Ninaumwa kwelikweli,
Ata kama nikichinjwa, haitoki homa kali,
Roho naona yachinjwa, kifo kinanikabili,
Kama mnataka mali, .......................