Sizitaki Mbichi Hizi!!

Sizitaki Mbichi Hizi!!

Hiyo picha na shairi vipo kwenye profile ya FIGGANIGGA.
 
do! lakini inayonikuna sana na naiona maana yake ni lile shahiri la kama mnataka mali mtaipata shambani ipo kwenye ukurasa wa 33!
nakini tunajifunza nini kwa vitabu hivi! binafsi natamani serikali ifikilie kuvitoa tena hata kama havitumiki kwa sasa watu tununue kwa kumbukumbu zetu
makumbusho si lazima viwe vya kale tu tuangalie taaluma zetu pia. nikiwa naandika msg hii wasomi wa sasa wa darasa la nne wanapita wanasimuliana malimaaaaaaa
 
Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali,
Kavimba yote mapaja, nakutetemeka mwili,
Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali,
Wakataka na kauli, iwafae maishani.

Akatamka mgonjwa, Ninaumwa kwelikweli,
Ata kama nikichinjwa, haitoki homa kali,
Roho naona yachinjwa, kifo kinanikabili,
Kama mnataka mali, .......................
 
Kulikuwepo na,

Twakukarisha mwenge, mgeni wetu uringe,
Nawenyeji tukuchunge, huku tukishangilia,
Kwetu ukitoka mwenge, uendelee maenge,
kila mwaka muupange, kuja kututembelea.
 
Tola njaa ipo muda mrefu...watoto wanalala njaa bila kula!
Tola mmmmh!!
 
Na Safari kwa mjomba,
Mamba na Kima,
Kibanga ampiga mkoloni
Sadiki na Sikiri
 
This nearly made me cry i was one of the smartest kids back then,now am just a loser and a wannabe.
 
We Bibi yetu Eda Sanga, Hadithi inatufundisha nini?

Nadhani mkuu hadithi hii inatufundisha umuhimu wa mtaala mmoja kitabu kimoja-hii inaongeza umoja na uelewano kama taifa tofauti na sasa hivi mambo yako shaghalabaghala-kuna mitaala ya cambridge, ya kenya, uganda, ya kihindi, ya baraza, kwenye vitabu vya kiada na ziada ndio balaa!! ilifika mahali kila mkuu wa shule ndio ana uamuzi wa kuchagua vitabu vya wanafunzi wake!!!
 
Back
Top Bottom