Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Tola anakula gizani
2.Watoto wageuka mawe
3.Ziwa Jipe
4.Sadiki na Sikiri
5.Gulio la katerero
do! lakini inayonikuna sana na naiona maana yake ni lile shahiri la kama mnataka mali mtaipata shambani ipo kwenye ukurasa wa 33!
nakini tunajifunza nini kwa vitabu hivi! binafsi natamani serikali ifikilie kuvitoa tena hata kama havitumiki kwa sasa watu tununue kwa kumbukumbu zetu
makumbusho si lazima viwe vya kale tu tuangalie taaluma zetu pia. nikiwa naandika msg hii wasomi wa sasa wa darasa la nne wanapita wanasimuliana malimaaaaaaa
Tola njaa ipo muda mrefu...watoto wanalala njaa bila kula!
Tola mmmmh!!
Na Safari kwa mjomba,
Mamba na Kima,
Kibanga ampiga mkoloni
Sadiki na Sikiri
Andunje!
We Bibi yetu Eda Sanga, Hadithi inatufundisha nini?
na safari kwa mjomba,
mamba na kima,
kibanga ampiga mkoloni
sadiki na sikiri