Sizitaki Mbichi Hizi!!

Sizitaki Mbichi Hizi!!

Daah kweli umenikumbusha mbali wakati elimu yetu bado lulu kabla ya BRN...
 
Kwa kweli mmenikumbusha mbali sana, kwani tulikuwa tunabeba kila kitu kichwani.. HEBU MWENYE REKODI YA HADITHI YA WALE WATU WATATU WALIOJIFUNIKA NA MAJANI VITANI NA KUAMBIANA WAKAE KIMYA ADUI WAKIPITA. WA KWANZA BAADA YA KUKANYAGWA ALILALAMIKA "MBONA MNAKANYAGA WENGINE KAMA MAJANI?', WA PILI AKASEMA 'SASA KWA NINI WEWE UMESEMA?' NA WA TATU AKASEMA 'HERI MIM SIJASEMA' NA WOTE WAKAUAWA KWA KUCHOMWA MIKUKI. mwenye kumbukumbu ya mtiriko wa hadithi tafadhali!!
 
12592215_1417089431638804_821860239950164173_n.jpg
 
Vitabu wanavyo tumia sasahivi watoto sidhan kama vina burudan kama hizi
 
Daaah , nimeimba wimbo huu , safi sana !
Kuna SADIKI na FIKIRI
JUMAa na MWIZI
MUWA uliozamisha meli
 
Back
Top Bottom