kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,239
Shikamoo Kaka1979 standard Three
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shikamoo Kaka1979 standard Three
miaka yenda mbeleSizitaki mbichi hizi.......
Umenikumbusha mabli sana mkuumiaka yenda mbele
we wacha tu mkuuUmenikumbusha mabli sana mkuu
Hapana mkuu manenge na mandawa ilikuwa katika kitabu cha juma na roza cha darasa la kwanza kama sikoseiHivi ni kitabu hiki ndio kilikuwa na ile hadith ya manenge na mandawa!?
Heri mimi sijasemaHivi ni kitabu hiki ndio kilikuwa na ile hadith ya manenge na mandawa!?
Duh, zamani tulifaudu, lijamaa kwa ujinga wake likachomwa mkuki na kufa!Heri mimi sijasema
Thanks kwa ukumbusho, nimesahau kabisa, vitabu hivyo nilisoma mid 80sHapana mkuu manenge na mandawa ilikuwa katika kitabu cha juma na roza cha darasa la kwanza kama sikosei