Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Tangu uniwashie moto siku ile nakufuatiliaga tu kimya kimya. Na sasa nimepata na jina zuri la malage uwiii!
Halafu siku gani hiyo mbona sikumbuki ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ.. em nenda unitag Basi nione ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™ˆ
 
Nakimbia jogging kila siku.. naipenda njia moja sababu haina complications. Wakat wa kurudi sirud njia ile nazunguka natokea upande wa pili. Baada ya muda wife kaletewa tuhuma imezagaa mtaani kuwa nnavokimbia ni geresha kuna mwanamke mmoja kule mbele namla so huwa naenda.. na ndo maana sirudi. kumbe mtaa mzima walikua wanajua hii skendo ni mimi tuu muhusika nilikua sijui
Pole Mkuu walichokufanyia hao majirani ni zaidi ya Uchawi.
 
Niliwahi zushiwa kijijini Mimi ni mwizi wa nguruwe baada ya mfugaji mmoja kuwaachia nguruwe wake na kuaribu bustani yangu ya viazi hivyo Mimi nikakamata nguruwe Moja nikafanya sherehe hapo nyumbani,wakanitungia jina wakaniita manguruwe

Kwakweli iliniuma mno
Ko una hisi Ali kuonea au๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚
 
Mimi miaka ya 90 kuna msichana nilimpenda mtaani lakini kutokana na utoto nikashindwa kumwambia nikawa nampa pesa tu, siku moja nilimpa pesa shilingi ishirini , kumbe kuna mtu aliniona akaenda kuwaambia wazazi wake yule binti.
Wazazi wake wakorofi wakanijazia watu mtaani wakanitukana sana kwamba namtom** binti yao.
Mwishoni wakasema huyu mtoto ni popobawa kabisa kabisa hafai.
Ikumbukwe miaka ile ya tisini ndio ile kadhia ya popo bawa ilikuwa imepamba moto.
Kuanzia hapo nikawa naitwa jina la popobawa.
Kwakweli nilikuwa naumia na kusononeka sana.
We Jamaa ni kituko aisee๐Ÿ˜†๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Bashite alikuwa anafanya msako wake hadi wa mjani tukajumlishwa kwenye orodha yake kumbe kuna boss ndio walikuwa wanamlengesha wengine tumewekwa tu kama njia .... aisee tulikaa kama digi digi kwa wiki mbili wengine tukahama mkoa๐Ÿ˜
Ko full kuwindana tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜†๐Ÿค’
 
Niliwahi zushiwa kijijini Mimi ni mwizi wa nguruwe baada ya mfugaji mmoja kuwaachia nguruwe wake na kuaribu bustani yangu ya viazi hivyo Mimi nikakamata nguruwe Moja nikafanya sherehe hapo nyumbani,wakanitungia jina wakaniita manguruwe

Kwakweli iliniuma mno
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] kwanin usitumie hyo jina la manguruwe humu
 
Kuna co - worker mwenzangu ananisambazia habari za uongo kwa watu na kunichukia bila sababu eti Mimi natembea na mwanamke wake .

Sijawahi kutembea naye huyo mwanamke kimapenzi na wala sijawahi kumtongoza,

INAUMA SANA
Mimi mmwenyewe juzi tu nilizushiwa natembee na wake za watu na kuwekewa ushaihd wa uongo na mke na jamaa nao wakakuzanya watu ili jamaa aweke ushaihid kuwa mm namtongoza mke kumbe ajabu mke wake Ni mislamu alfu ananiombaga nimnulilie kitimoto

Sasa kidg tumezinguana anakwenda kumuamboa mam mweny nyumba kuwa namtongoza na Nina msumbuaa
 
Aisee, binadamu wabaya sana...
 
Back
Top Bottom