Jbst
JF-Expert Member
- Nov 29, 2020
- 1,971
- 4,085
Kipindi nasoma nilikua na kampan ya wahuni wahuni sana ila sikua mtoto wa hovyo.
Basi kuna siku saa 5 usku natembea zangu natoka kwenye mziki sisi tunaita "bugi" naenda nyumban kulala napita kwenye kichochoro nikatereza kumbe kuna maza alichungulia dirishan akaniona.
Sasa yule maza ana ushoga na maza wake na mshkaji wangu, kesho wanapiga umbea akaenda kumwambia jbst anavuta madawa ya kulevya jana kapita usiku anapepesuka huku anavuta madawa!! Mkanye mwanao kuwa na urafiki nae.
Jamaa yangu alikuja kuniambia iliniuma sana maana nilikua nikipita tu mtaa huo macho yanakua mengi sana alafu kipindi hicho nilikua nimetoka kuugua nikawa nimekonda sna basi wakaamini hivo.
Nilishama huo mkoa kwasas ila nikirudi home huwa siwasalimii nikipita mtaa huo ila pia nimejifunza kuwa na kampan na watu wa hovyo hovyo