Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Niliwahi zushiwa kijijini Mimi ni mwizi wa nguruwe baada ya mfugaji mmoja kuwaachia nguruwe wake na kuaribu bustani yangu ya viazi hivyo Mimi nikakamata nguruwe Moja nikafanya sherehe hapo nyumbani,wakanitungia jina wakaniita manguruwe

Kwakweli iliniuma mno
😂 umenikumbusha mbali na hilo jina manguruwe
 
Bashite alikuwa anafanya msako wake hadi wa mjani tukajumlishwa kwenye orodha yake kumbe kuna boss ndio walikuwa wanamlengesha wengine tumewekwa tu kama njia .... aisee tulikaa kama digi digi kwa wiki mbili wengine tukahama mkoa[emoji16]
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Scandal sio lazima uzushiwe zingine hua ni kweli......sema wahuni wanashindwa kukusitir wanavujisha!

Kuna kipindi tulikua tunagombania madem mtaa x na y, kama unakaa x ukamdeti demu anakaa mtaa y ukidakwa utatoa hesabu ya Kila goli ulilompiga...... siku hyo kulikuwa na harusi mtaa y machalii wa mtaa x walikuja wa kutosha na boda boda zao, mda wa kucheza Muziki nlijua kitanuka tu nkaenda barabarani nkaweka mawe ya kutosha na magogo ili majamaa wakikimbia na boda zao wakwame wachezee kipondo....kwel hata lisaaa halijaisha vurugu zikaanza Muziki ukazimwa wakaanza kupigana majamaa wakatoka nduki kufika road imezibwa wakakutwa pale walichezea kufuli kamba za maana plus mawe

Baadae walikua wanatafuta nani kaziba road....hiii Dunia hii kila unachokifanya hua Kuna mtu anakuona aiseee Kuna mtu alinitaja yaan alisimulia kila nlichofanya pale nlianza na nn nikamaliza na nn nlihojiwa nikagoma sio mm lkn nlikuwa mm....nlipitisha miaka miwili Kuna maeneo siendi mwenyw
 
Back
Top Bottom