Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Mimi miaka ya 90 kuna msichana nilimpenda mtaani lakini kutokana na utoto nikashindwa kumwambia nikawa nampa pesa tu, siku moja nilimpa pesa shilingi ishirini , kumbe kuna mtu aliniona akaenda kuwaambia wazazi wake yule binti.
Wazazi wake wakorofi wakanijazia watu mtaani wakanitukana sana kwamba namtom** binti yao.
Mwishoni wakasema huyu mtoto ni popobawa kabisa kabisa hafai.
Ikumbukwe miaka ile ya tisini ndio ile kadhia ya popo bawa ilikuwa imepamba moto.
Kuanzia hapo nikawa naitwa jina la popobawa.
Kwakweli nilikuwa naumia na kusononeka sana.
Popobawa on trending [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakimbia jogging kila siku.. naipenda njia moja sababu haina complications. Wakat wa kurudi sirud njia ile nazunguka natokea upande wa pili. Baada ya muda wife kaletewa tuhuma imezagaa mtaani kuwa nnavokimbia ni geresha kuna mwanamke mmoja kule mbele namla so huwa naenda.. na ndo maana sirudi. kumbe mtaa mzima walikua wanajua hii skendo ni mimi tuu muhusika nilikua sijui
 
Nakimbia jogging kila siku.. naipenda njia moja sababu haina complications. Wakat wa kurudi sirud njia ile nazunguka natokea upande wa pili. Baada ya muda wife kaletewa tuhuma imezagaa mtaani kuwa nnavokimbia ni geresha kuna mwanamke mmoja kule mbele namla so huwa naenda.. na ndo maana sirudi. kumbe mtaa mzima walikua wanajua hii skendo ni mimi tuu muhusika nilikua sijui
Binadamu ni wabaya sana
 
Skendo nyingi huwa ni za kutengenezwa na watu ili kukuchafua na kuonekana kwenye jamii kuwa wewe ni mtu wa ovyo sana

Skendo ambayo staisahau kwenye maisha yangu nilipozushiwa kuwa nina mahusiano ya kimapenzi na mwanaume shoga, na nikaambiwa na tarehe na sehemu tulipofanyia hicho kitendo,iliniuma sana nikajificha ndani haikusaidia,nikazima simu haikusaidia ..

Ili skendo iishe niliamua kukaa kwa watu walipo na kila aliyekuwa ananiuliza nilikubali yaishe, ila iliniuma sana

Je wewe mwenzangu umewahi kushushiwa skendo gani na uliikabilije kwenye jamii?
Wewe jinsia gani?
 
Kuna co - worker mwenzangu ananisambazia habari za uongo kwa watu na kunichukia bila sababu eti Mimi natembea na mwanamke wake .

Sijawahi kutembea naye huyo mwanamke kimapenzi na wala sijawahi kumtongoza,

INAUMA SANA
Ninajijua akili yangu mbovu. Huyo ni lazima ningekula hata kwa kufumba macho.

Sijawahi kusingiziwa nikaacha hata siku moja. Labda nisingiziwe na wengine lakini akithubutu kunituhumu mumewe, lazima nikale ashike adabu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Nakumbuka wakati niko shule nilizushiwaga nadate na mwalimu wa physics ile skendo ilinitesaga sana nilifikia hatua hadi nikawa najifelisha makusudi maana nilikua nikifaulu tu watu wanasema nimevujishiwa paper,, toka nimeenda shule msosi wa shule nilikua sili ila ikafikia hatua ilibidi nianze kula tu hatakama situmii malage na sipendi kande maana ilikua nikinunua hata chips wanasema hela nimehongwa na mwalimu, nilikuaga kiongozi lakini ikabidi nijiudhuru tu maana ilikua nikisimama assembly hata kutangaza naona kama shule nzima inanizomea🤦‍♀️🤦‍♀️...iliniumiza na kunitesa sana kisaikolojia ukizingatia na mwalimu mwenyewe alikua mkali hata kuanza kumuuliza naogopa naanzia wapi,, nilimwomba mzee anihamishe shule alikataa hadi nikatamani nitoroke😂😂😂.. Nilikuja kujifunza baadae sana kwamba inabidi uishi tu maisha ya kawaida ambayo almost kila mtu anaishi maana ukijiweka tofauti tu watu wanaanza kufanya assumptions za kipuuzi
Wewe ni ke!?

Mie Me ningesingiziwa namkula mwalimu wa kike, Ningemtongoza kabisaa 😂
 
Mimi na mwanangu hapo Tarime Sec tukazushiwa kuwa tunakula mjani, sema haikutuuma coz tulikuwaga tunasupply tu bila kuvuta
 
Back
Top Bottom