Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Tangu uniwashie moto siku ile nakufuatiliaga tu kimya kimya. Na sasa nimepata na jina zuri la malage uwiii!
Halafu siku gani hiyo mbona sikumbuki πŸ˜ƒπŸ˜ƒ.. em nenda unitag Basi nione πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆ
 
Pole Mkuu walichokufanyia hao majirani ni zaidi ya Uchawi.
 
Ko una hisi Ali kuonea auπŸ˜†πŸ˜‚
 
We Jamaa ni kituko aiseeπŸ˜†πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Bashite alikuwa anafanya msako wake hadi wa mjani tukajumlishwa kwenye orodha yake kumbe kuna boss ndio walikuwa wanamlengesha wengine tumewekwa tu kama njia .... aisee tulikaa kama digi digi kwa wiki mbili wengine tukahama mkoa😁
Ko full kuwindana tuπŸ˜‚πŸ˜†πŸ€’
 
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23] kwanin usitumie hyo jina la manguruwe humu
 
Kuna co - worker mwenzangu ananisambazia habari za uongo kwa watu na kunichukia bila sababu eti Mimi natembea na mwanamke wake .

Sijawahi kutembea naye huyo mwanamke kimapenzi na wala sijawahi kumtongoza,

INAUMA SANA
Mimi mmwenyewe juzi tu nilizushiwa natembee na wake za watu na kuwekewa ushaihd wa uongo na mke na jamaa nao wakakuzanya watu ili jamaa aweke ushaihid kuwa mm namtongoza mke kumbe ajabu mke wake Ni mislamu alfu ananiombaga nimnulilie kitimoto

Sasa kidg tumezinguana anakwenda kumuamboa mam mweny nyumba kuwa namtongoza na Nina msumbuaa
 
Aisee, binadamu wabaya sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…