SKENDO: Sarah ambwaga Harmonize, sasa mapenzi motomoto na Mwarabu Fighter

Alafu hizi si ni ishu za insta. Tuacheni JF tujadili mambo yenye maslai mapana kwa nchi
 
Nyumbu wa Mange
 
WCB kwa kiki tu unaweza kusikia uyu Mwarabu Fighter nae anataka kutoa wimbo wake sasa.
 
Majukwaa yapo mengi humu JF, nenda jukwaa la siasa ukajadili mambo ya nchi
JF hata km ni social forum tunajadili mambo yenye tija, yanayodadisi na kuchochea kufikri kwa mapana.

Bahati mbaya social forums haina maana ya umbea.
 
halafu inasemekana dogo hajawahi kula mzigo si unajua tena wazungu unaweza mkawa boyfriend na girlfriend hata zaidi ya miaka mitatu bila hata kulana,dogo miezi iliyopita alihojiwa kuhusu mimba akadai ana mimba huyo dem juzi anadai eti imetoka hapo mtaalam utajua ni udaku tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…