Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #61
Zari kabaki mkiwa halafu ameanza kuwapandikiza chuki watoto wake wamchukie Diamond.Jukwaa la celebrates wewe ndio mfalme wake hakuna mwingine tena mkuu....
Siku hizi simsikii zari tena ni nani anaekula lile toto mkuu...
Harmo hawezi kufa njaa, muziki wake umefika mbali sanaHarmo atakufa njaa sasa, mmakonde wa kwanza kuwa marioo
Kawaida ya akina mama katika malezi yao huwa wanawajaza sana sumu watoto wamchukie baba...Zari kabaki mkiwa halafu ameanza kuwapandikiza chuki watoto wake wamchukie Diamond.
Ha ha ha, Zari anampenda sana Diamond kuliko kitu chochote kile duniani, ndio maana hata kipindi kile alipofiwa na mama yake na mumewe Ivan hakuwa mtu mwenye majonzi kwa kuwa Diamond alikuwa pembeni yake, muangalie kwa sasa baada ya kutengana na Diamond amekuwa ni mtu mwenye majonzi wakati wote japo anajitahidi kuficha huzuni yake.Kawaida ya akina mama katika malezi yao huwa wanawajaza sana sumu watoto wamchukie baba...
Nafahamu kuna mtu atakuwa anakula ile mama maana hana sifa ya kuwa mpweke mkuu...[emoji16][emoji16][emoji16]
Wewe unafanya nini kwenye umbea? this is celebrity forumMwanaume unapendaje umbea yaan hata huo muda unaupata wap
halafu inasemekana dogo hajawahi kula mzigo si unajua tena wazungu unaweza mkawa boyfriend na girlfriend hata zaidi ya miaka mitatu bila hata kulana,dogo miezi iliyopita alihojiwa kuhusu mimba akadai ana mimba huyo dem juzi anadai eti imetoka hapo mtaalam utajua ni udaku tosha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni watu wa ajabu sanaUkisoma comments za wana JF utagundua ni wanafiki sana......wanavyo mponda mtoa mada as if mtoa mada kawaletea wasicho kipenda hahahaha hili jukwaa kila leo mnashinda humu kutaka habari kama hizi...zikiletwa mnajidai hamzipendi hahahaha na hili jukwaa ni mahususi kwa habari kama hizo..
hahahaha
Hata Mr. Nice alifika mbali sanaaaaHarmo hawezi kufa njaa, muziki wake umefika mbali sana
Sawawe hance umbea uo muachiy sister wako .
Sawa... Nafikiri " Ray Waniache na Hance mtanashati ni mtu mmoja , maana mwandiko unafanana.
Blood achana nao hao hawanipi shidaKuna mijitu inajifanya ina msema Hance wakati na yenyewe inasoma habari
Muacheni aendelee kunyapia nyapia tupate udaku
unauhakika na chunguza coz me binafsi nina rafiki wa kizungu najua vizuriHizi habari za wazungu unazipataga kijiweni?
unauhakika na chunguza coz me binafsi nina rafiki wa kizungu najua vizuri
mjomba mbona hueleweki?? kwani kuna mtu kasema binadam ni tofauti? rangi tu ndio utofauti hueleweki weweAchana na hizo stori, hao wazungu tunaishi nao ni watu wa kawaida tu hawana tofauti yoyote na kina Mwajuma.
mjomba mbona hueleweki?? kwani kuna mtu kasema binadam ni tofauti? rangi tu ndio utofauti hueleweki wewe
Mara nyie watu wanaojadiliwa kwenye social media huwa wanalianzisha wenyewe. Mtu anajitapa kwa kuweka mafanikio yake hadharani basi asubiri pia maanguko yake kuwekwa. Unakuta mtu kwa mfano anajenga nyumba na kuipost kwa matambo meeengi. Ikibomoka ni lazima watu wajulishane.JF hata km ni social forum tunajadili mambo yenye tija, yanayodadisi na kuchochea kufikri kwa mapana.
Bahati mbaya social forums haina maana ya umbea.