SKENDO: Sarah ambwaga Harmonize, sasa mapenzi motomoto na Mwarabu Fighter

SKENDO: Sarah ambwaga Harmonize, sasa mapenzi motomoto na Mwarabu Fighter

Zari kabaki mkiwa halafu ameanza kuwapandikiza chuki watoto wake wamchukie Diamond.
Kawaida ya akina mama katika malezi yao huwa wanawajaza sana sumu watoto wamchukie baba...

Nafahamu kuna mtu atakuwa anakula ile mama maana hana sifa ya kuwa mpweke mkuu...[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kawaida ya akina mama katika malezi yao huwa wanawajaza sana sumu watoto wamchukie baba...

Nafahamu kuna mtu atakuwa anakula ile mama maana hana sifa ya kuwa mpweke mkuu...[emoji16][emoji16][emoji16]
Ha ha ha, Zari anampenda sana Diamond kuliko kitu chochote kile duniani, ndio maana hata kipindi kile alipofiwa na mama yake na mumewe Ivan hakuwa mtu mwenye majonzi kwa kuwa Diamond alikuwa pembeni yake, muangalie kwa sasa baada ya kutengana na Diamond amekuwa ni mtu mwenye majonzi wakati wote japo anajitahidi kuficha huzuni yake.
 
Ukisoma comments za wana JF utagundua ni wanafiki sana......wanavyo mponda mtoa mada as if mtoa mada kawaletea wasicho kipenda hahahaha hili jukwaa kila leo mnashinda humu kutaka habari kama hizi...zikiletwa mnajidai hamzipendi hahahaha na hili jukwaa ni mahususi kwa habari kama hizo..
hahahaha
 
halafu inasemekana dogo hajawahi kula mzigo si unajua tena wazungu unaweza mkawa boyfriend na girlfriend hata zaidi ya miaka mitatu bila hata kulana,dogo miezi iliyopita alihojiwa kuhusu mimba akadai ana mimba huyo dem juzi anadai eti imetoka hapo mtaalam utajua ni udaku tosha

Hizi habari za wazungu unazipataga kijiweni?
 
Ukisoma comments za wana JF utagundua ni wanafiki sana......wanavyo mponda mtoa mada as if mtoa mada kawaletea wasicho kipenda hahahaha hili jukwaa kila leo mnashinda humu kutaka habari kama hizi...zikiletwa mnajidai hamzipendi hahahaha na hili jukwaa ni mahususi kwa habari kama hizo..
hahahaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ni watu wa ajabu sana
 
... Nafikiri " Ray Waniache na Hance mtanashati ni mtu mmoja , maana mwandiko unafanana.
 
Kuna mijitu inajifanya ina msema Hance wakati na yenyewe inasoma habari
Muacheni aendelee kunyapia nyapia tupate udaku
 
Achana na hizo stori, hao wazungu tunaishi nao ni watu wa kawaida tu hawana tofauti yoyote na kina Mwajuma.
mjomba mbona hueleweki?? kwani kuna mtu kasema binadam ni tofauti? rangi tu ndio utofauti hueleweki wewe
 
mjomba mbona hueleweki?? kwani kuna mtu kasema binadam ni tofauti? rangi tu ndio utofauti hueleweki wewe

Umeanza kuelezea walivyo tofauti eti unaweza kutoka nae mwaka mzima lakini hajakupa penzi. Ndio nakuambia ni story za kijiweni tu hizo au labda kakuona huna ukuni .
 
JF hata km ni social forum tunajadili mambo yenye tija, yanayodadisi na kuchochea kufikri kwa mapana.

Bahati mbaya social forums haina maana ya umbea.
Mara nyie watu wanaojadiliwa kwenye social media huwa wanalianzisha wenyewe. Mtu anajitapa kwa kuweka mafanikio yake hadharani basi asubiri pia maanguko yake kuwekwa. Unakuta mtu kwa mfano anajenga nyumba na kuipost kwa matambo meeengi. Ikibomoka ni lazima watu wajulishane.
 
Back
Top Bottom