Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Mungu hajawahi kuhukumu ndio maana mashoga wanazidi kupeta.

Wanaoteseka ni watu wenye magonjwa ya sonona pamoja na hasira zisizo na maelezo.

Unawezaje KUMFOKEA mtu anapoamua kutumia tiGo yake?
Sijui unaongelea Mungu gani ila wa kikristo alishawahukumu tena amewaita mbwa na amekataa kupokea sadaka zao .kwa hiyo kanisani shoga anaruhusiwa kuingia ila haruhusiwi kutoa sadaka

Kum 23:18 SUV​

Usilete ujira wa kahaba, wala mshahara wa mbwa, katika nyumba ya BWANA, Mungu wako, kwa ajili ya nadhiri yo yote; kwani haya ni machukizo kwa BWANA, Mungu wako, yote mawili.
 
Kwani handsome ni uzuri?
Uzuri ni sifa ya kike
Handsome ni mwanaume mwenye mvuto, kuanzia wa sura, mavazi na muonekano kwa ujumla. Hakuna ubaya na siyo guarantee ya kuwa shoga. Huna uthibitisho wowote wa kuonesha uzuri ni sifa ya kike zaidi ya kuongea tu kutokana na kukariri kwako.!
 
Handsome ni mwanaume mwenye mvuto, kuanzia wa sura, mavazi na muonekano kwa ujumla.
Hio definition yako ndo inaonesha kwamba hamna mwanaume mzuri
(Haujahusisha sifa ya uzuri ila umeongelea mvuto )
na kwa kiswahili nadhifu maana yake ni mtanashati
Sheenz
 
Hio definition yako ndo inaonesha kwamba hamna mwanaume mzuri
(Haujahusisha sifa ya uzuri ila umeongelea mvuto )
na kwa kiswahili nadhifu maana yake ni mtanashati
Sheenz
Wewe hujui kitu kikiwa na mvuto yaani muonekano ndiyo uzuri wenyewe niliomaanisha? Kuna neno muonekano nimeweka.! Sawa wewe?! Hope umeelewa!
 
Wewe hujui kitu kikiwa na mvuto yaani muonekano ndiyo uzuri wenyewe niliomaanisha? Kuna neno muonekano nimeweka.! Sawa wewe?! Hope umeelewa!
Mvuto si sawa na uzuri (unaweza kuta mwanamke ana mvuto na wala si mzuri sexy but not beautiful)
Ila tusibishane kila mtu abaki na anachojua
 
nahisi wale jamaa wanalipwaa aisee tena hela ndefu... sasa ruben anapromote ushoga alafu baadae anaanza kusema ni utani sijui sio serious means kala hela ila anaona polisi mambo yanaenda sivyo ndivyo.
Sio kulipwa wanalazimishwa kupromote ugaynism ili wapate madili makubwa makubwa,mbn wengi tu,tuseme asimia 90 ya wasanii wetu huwa wanalazimishwa kupromote
 
huyo jamaa ana mambo ya kujinga sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…