melusine8
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 6,299
- 7,746
Eti CV ya uhakika na heshima kubwa aliyoitengeneza [emoji3]
Amesha vuta pesa kwa kundi lileeee ajitangaze!
Pambavu zake walahi [emoji35]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti CV ya uhakika na heshima kubwa aliyoitengeneza [emoji3]
Yaani kabisaa..!! Zamani mtu akionyesha mafanikio kidogo tu utasikia FREEMASON huyu hapaSiku hizi tumetoka kwenye kuita watu kua wao ni Freemason,
Sasa hivi tumehamia kwenye kuita watu mashoga!
Sijui unaongelea Mungu gani ila wa kikristo alishawahukumu tena amewaita mbwa na amekataa kupokea sadaka zao .kwa hiyo kanisani shoga anaruhusiwa kuingia ila haruhusiwi kutoa sadakaMungu hajawahi kuhukumu ndio maana mashoga wanazidi kupeta.
Wanaoteseka ni watu wenye magonjwa ya sonona pamoja na hasira zisizo na maelezo.
Unawezaje KUMFOKEA mtu anapoamua kutumia tiGo yake?
Hata mimiHili jina ndio nalisikia leo.
MIMI NI MZURISasa we endelea kujifananisha na Yusufu wa kale kwenye Karne hii...utaelewa kwa Nini nimekwambia so vema mtoto wa kiume kukaa unajinadi eti wewe Ni mzuri
[emoji38][emoji38][emoji38] bichwa komwee mbona umekuwa na fujo hivi siku hizi??!Acha kujifanya hakimu.
Tukikupekua tutakuta una madhambi debe ya ufiraji, wizi, ubakaji, ushirikina na mauchafu mengine kibao!!!
Haya geuka nyuma POTEEAA!
[emoji38]Haikuhusu.
Fungasha wowowo, nyuma geuka, POTEAAAA.
It's quite ok kwako!pole Ni ya mwanamke mwenzangu aliyeumia labor.MIMI NI MZURI
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]FUTUHI.
Handsome ni mwanaume mwenye mvuto, kuanzia wa sura, mavazi na muonekano kwa ujumla. Hakuna ubaya na siyo guarantee ya kuwa shoga. Huna uthibitisho wowote wa kuonesha uzuri ni sifa ya kike zaidi ya kuongea tu kutokana na kukariri kwako.!Kwani handsome ni uzuri?
Uzuri ni sifa ya kike
Hio definition yako ndo inaonesha kwamba hamna mwanaume mzuriHandsome ni mwanaume mwenye mvuto, kuanzia wa sura, mavazi na muonekano kwa ujumla.
Kwa kuwa huna akili ya kuelewa, nampa pole mwanaume mwenzangu aliyejikamua usiku huo!It's quite ok kwako!pole Ni ya mwanamke mwenzangu aliyeumia labor.
Wewe hujui kitu kikiwa na mvuto yaani muonekano ndiyo uzuri wenyewe niliomaanisha? Kuna neno muonekano nimeweka.! Sawa wewe?! Hope umeelewa!Hio definition yako ndo inaonesha kwamba hamna mwanaume mzuri
(Haujahusisha sifa ya uzuri ila umeongelea mvuto )
na kwa kiswahili nadhifu maana yake ni mtanashati
Sheenz
Mvuto si sawa na uzuri (unaweza kuta mwanamke ana mvuto na wala si mzuri sexy but not beautiful)Wewe hujui kitu kikiwa na mvuto yaani muonekano ndiyo uzuri wenyewe niliomaanisha? Kuna neno muonekano nimeweka.! Sawa wewe?! Hope umeelewa!
Sawa Lgbtq. Zingatia hiyo L[emoji304][emoji304][emoji304]Mlivyo na mitusi Sasa mi nitakuwezea wapi?pambana na UZURI wako
Sidhani kama jamaa ni gayNatafuta video ya Ommy dimpoz tu
Sio kulipwa wanalazimishwa kupromote ugaynism ili wapate madili makubwa makubwa,mbn wengi tu,tuseme asimia 90 ya wasanii wetu huwa wanalazimishwa kupromotenahisi wale jamaa wanalipwaa aisee tena hela ndefu... sasa ruben anapromote ushoga alafu baadae anaanza kusema ni utani sijui sio serious means kala hela ila anaona polisi mambo yanaenda sivyo ndivyo.
huyo jamaa ana mambo ya kujinga sana.SKENDO CHAFU YAMTAFUNA HAKIKA RUBEN, NDUGU JAMAA NA MARAFIKI WAMTAKA AREJEE KWA MUNGU.
Mitandao ya kijamii imeibuka kwa kasi nchini Tanzania na imechukua sura mpya kwa watu tofauti ambapo wapo wanaoichukulia kama fulsa ya kujipatia kipato kwa kuuza na kuzitangaza kazi zao, wapo wanaoitumia kama sehemu ya starehe kutuliza mawazo yao lakini pia imekuwa ni darasa huru kwa kila Mtanzania kwani kwa kuzingatia sheria tu unaweza kufanya chochote isipokuwa usivuke mipaka.
Hakika Ruben kutoka Iringa ni miongoni mwa wachekeshaji ambao walianza vizuri na mpaka sasa wanafanya vizuri, kutokana na aina yake ya uchekeshaji amejikuta anakuwa kivutio kwa watu wengi na kujipatia mashabiki rukuki, ambapo kwenye mtandao wake wa Instagram bado kidogo akifikishe wafwasi milioni moja, hii inaonyesha ni kwa kiasi gani jamii inamkubali.
Lakini tangu wiki hii ianze kumekuwa na video inayosambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii ikimuonyesha Hakika akiwa live na wenzake kwenye mtandao wa TikTok ambapo kuna maneno yasiyo na hekima alikuwa anayaongea, kwenye maneno hayo alikuwa anajitambulisha kama mshiriki wa mapenzi ya jinsia moja kwa kumgombania mwanaume mwenzao yeye na mwenzake.
Kutokana na CV ya Hakika na heshima kubwa aliyoitengeneza Watanzania wengi wameonyesha kuchukizwa na kitendo hicho cha kishetani huku wengi wakimtukana na kumtaka arejee kwa Mungu wake aombe msamaha. Yote tisa, kumi mjadala huo umefika hadi nchini Kenya ambapo baadhi ya Wanahabari wameonyesha kukemea kitendo hicho na kuwaasa wazazi kuwaweka mbali watoto wao na mtandao wa Tiktok kwani si salama kwa watoto maana umekuwa kama uwanja wa kuhamasisha na kujifunza ngono.
Hata hivyo licha ya kuitwa Polisi, Hakika mwenyewe ameonyesha kutokujali kwani licha ya watu kumuomba abadirike bado ameendelea kuposti video za kujitangaza zaidi kuwa ni muhusika wa mambo hayo huku akifunga sehemu ya komenti kuwazuia watu wasiandike chochote.
View attachment 2544036