Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Kama yule kapigaa wa clouds...ongea ake tu lol
 
Si dhambi. Yusufu alikuwa hb na alijijua kuwa ni hb, Daudi, Suleiman, Sauli n.k

Kubali kataa wanaume hb's wapogo tuuu, na wanajijua.

Si dhambi na haihusiani na ushoga. Ni pride tu!
Sasa we endelea kujifananisha na Yusufu wa kale kwenye Karne hii...utaelewa kwa Nini nimekwambia so vema mtoto wa kiume kukaa unajinadi eti wewe Ni mzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…