Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Skendo ya ushoga yamtafuna Hakika Ruben baada ya video zake kuvuja

Mjinga sana
Kuongea ujinga eti Comedy
Kujisifia kwingi kumbe Chox
 
Hiyo operation lazima iguse pande mbili, wagongwaji na wagongaji, ukiwatoa wagongwaji ukawaacha wagongaji na stimu zao wataendelea kushawishi uzalishaji wa mashoga wapya. Mm nashangaa jamii inakomaa na wagongwaji tu kama tatizo pekee wakati wagongaji ndiyo mzizi wenyewe
Shangaa wee mwenzanguu lol.
 
Mnatengeneza taharuki isiyokuwepo.

Mashoga ni wachache sana na hawana hiyo athari mnayoijenga kwenye akili za watu.

Huku ni kutengeneza JINI ambalo halipo kiuhalisia. Lipo vichwani mwenu tu.
Hata mie nashangaa mashoga walio spotlight ni wachachee, ila watu wanakuza km vile n jambo kubwaa, kumbe ndo wanaupa promoo
 
Mungu hajawahi kuhukumu ndio maana mashoga wanazidi kupeta.

Wanaoteseka ni watu wenye magonjwa ya sonona pamoja na hasira zisizo na maelezo.

Unawezaje KUMFOKEA mtu anapoamua kutumia tiGo yake?
Mungu hajawahi kuhukumu?kivipi? ,Sodoma na Gomora unajua kilichotokea
 
Mungu hajawahi kuhukumu ndio maana mashoga wanazidi kupeta.

Wanaoteseka ni watu wenye magonjwa ya sonona pamoja na hasira zisizo na maelezo.

Unawezaje KUMFOKEA mtu anapoamua kutumia tiGo yake?
E747A825-2C12-4F49-9DF7-BFDFEC6805C0.jpeg
 
Ile ongea mtu mzima unaelewa kuwa dogo analiwa. But sio ishu ya kujaza umati
 
Back
Top Bottom