Skills (ujuzi) upi ni muhimu kwa vijana kuwa nao kwa kipindi hiki cha hali ngumu?

Skills (ujuzi) upi ni muhimu kwa vijana kuwa nao kwa kipindi hiki cha hali ngumu?

Jiweke vizuri ki afya na ki akili
Good thoughts come from a healthy body and a good soul
 
Surviving, kazi yoyote twende, chakula chochote kula, malazi magumu rekebisha, discipline ya hela, kujiamini, don't waste time for nothing, tembea na kimbia kiukakamavu, alywas kuwa smart, sikiliza zaidi kuliko kuongea, kabla ya kuongea chochote kifikirie kama ni madini au pumba, heshima kwa wakubwa zako...
 
Surviving, kazi yoyote twende, chakula chochote kula, malazi magumu rekebisha, discipline ya hela, kujiamini, don't waste time for nothing, tembea na kimbia kiukakamavu, alywas kuwa smart, sikiliza zaidi kuliko kuongea, kabla ya kuongea chochote kifikirie kama ni madini au pemba, heshima kwa wakubwa zako...
Dharau wadogo zako...
 
Me sijui kwasababu bado mchanga kimaisha nataka nijifunze ujuzi wa kutengeneza simu katika nyanja ya software na hardware

Naomben ushauri wenu kama nipo sahihi kabla sijalipa ada veta.
 
Ni jambo zuri ila lazima upate skills za kuweza pata funds kwa investor au pia uwe na personal skills za kuwekeza ili uweze kutimiza startup yako ikamilike
Iyo startup yako inahitaj funds kubwa san.
 
Ume Tongue Twist sana hizi paragraph mbili kiasi nashindwa kuelewa. By the way! Kimakadrio (Maana hufahamu kiasi ulichoweka) unadhani umetengeneza faida, balance au hasara.

$100 = 231,000
Biashara isiyo na faida utamuelekezaje mtu aifanye. Hapa natoka Kariakoo kununua vitu kwa kutumia hela yake, boom nililopokea wiki kama tatu zilizopita hata sijalitumia bado liko benki natumia hizihizi hela za Forex. Mimi naweka na kutoa sio kuhold kwa muda sijui ikue izae pesa nyingi.

Sijawahi piga hesabu ya jumla kama nimeweka kiasi gani na kutoa kiasi gani, mara ya mwisho kuchoma ni mwaka jana February taarifa za corona zilikuwa zinabadili market ghafla utasikia Boris Johnson kalazwa, ghafla yuko anaongea, kidogo yuko ICU, mara Paris imetangaza lockdown. Wakati huo niko na exams, siku OPEC+ wakashindwa kukubaliana bei ya mafuta, jambo ambalo sijawahi shuhudia ndio nikachoma dola 150 ambayo ndio hela nyingi kuchoma. Kabla ya hapo nishachoma mara mbili, tokea hapo sichomi ni either market isumbue niondoe hela kwa hasara ya transaction fee na exchange rate (kama elfu 15 haizidi) au nipate faida.

Muda mrefu nilipumzika baada ya iPay Africa na Templer kukata mkataba. Sina VISA wala NIDA wala kadi ya mpiga kura. Mawakala walipoanza nikajivuta kwanza kusikia kama kuna vilio nikaona ni safe kuingia.

Hela nyingi nilizitumia na mademu huwezi nambia nikuoneshe nini ninamiliki. Sasa ujinga nimeacha, ila bado Fx sio sehemu yangu ya kutafuta maisha. Hili ni boom binafsi
 
Safi, fanya mipangilio vyema na tengeneza nidhamu fedha. Naamini unaweza kukusanya vyema na kutengeneza mradi/miradi zaidi kutanua uwekezaji nje ya forex.

Nimependezwa.
 
Skills ya Dancing,
Kuna Singeli na Bongo fleva
Dancers wa mtaani kwetu wananiita tajiri niwatoe buku wana mechi jioni. Wakihisi njaa wanapiga mziki kwenye vile vi-Bluetooth device is ready to pair na kupigiana makofi kisha wanatandaza kitambaa chini uku tiyari washachora tangazo kuwa jioni wana mechi (mechi hewa). Huwa nawapa hela kwa vile niwakabaji, mara chache huwa narudi usiku.

Dancers wapo kibao mtaani, mashuleni na vyuoni. Competition kibao zinafanyika chuo, mbona sijawahi ona msanii anakuja kuwachukua dancers. Bora competition za mamiss, comedians na fashion wanachukuliwa 'kuuza sura', wenyewe wanaita branding & exposure.

Na hiyo singeli haina market cap ya kumfanya mtu awekeze akili na nguvu uko. Wasanii wake si ni hawa kina bahariaaaah, wengi njaa kali mradi wanajua misemo ya Pwani. Sasa kama wasanii njaa, producers njaa, vipi dancers itakuwaje.
 
Back
Top Bottom