SKONGA: Kipindi 'kinachovua nguo' wanafunzi


Isitoshe, watoto wa siku hizi tunawadekeza sana. Hatupo "strict" kama tulivyolelewa sisi.
 

mkuu kichwa cha habari na yaliyomo east and west
 
Mi nazani kama wazazi na walezi tuwape elimu ya kujitambua watoto na ndugu zetu,pia kuwa wa kali juu ya swala la elimu kwa wale watoto wasiojitambua,kuna baadhi ya familia zamani kama utaki kusoma au unafukuzwa unaambiwa nenda kijijini unapewa na shamba,ukiona ugumu unarudi shule kwa nguvu,sema tuna katishwa tamaa na wabunge wetu,kuna mbunge mmoja aliwai sema kuferi si kuferi maisha sababu yeye alifeli na ni mbunge nilisikitika kwa kweli
CC Raiafulan,madame b,Faizafoxy
"VV"
 

Ni kweli mkuu, ila nawe naomba ukajinoe na imla kidogo.
Kuhusu imla nakumbuka mwanafunzi mmoja aliulizwa imla ni nini akasema ni wakati ule mwalimu anasoma na wanafunzi wanaandika. Akawa sahihi. Akaulizwa kama ameshawahi sikia kuhusu utawala wa kiimla akasema hapana. Akaulizwa kiongozi wa kiimla ni wa aina gani hakuelewa. Akaulizwa dictator ni kiongozi wa aina gani akajibu ni yule anayetawala kimabavu, akapata. Akaulizwa tena uongozi wa kidikteta kiswahili unaitwaje akasema hajui. Ilipaswa atumie akili kidogo kuoanisha hayo. ina maana udadisi hakuna.
 
Yaani maisha ya kiuanafunzi yamebadilika

Ila shule za serilaki ndio mbaya zaidi bora hizi za binafsi kidogo

Enzi zile mwanafunzi labda hatukuwa na distractions, no tv, radio yano rtd pekee

Kilichobaki ni masomo tu

 

kimsingi watoto wetu wana lack cognitive thinking basi.
 
mkuu kichwa cha habari na yaliyomo east and west

mkuu kwann unasema hivyo??

hivi unajua aina za uandish wa vichwa vya habari??
je huoni kwamba katumia tamathali za semi kufikisha ujumbe kwa hadhira yake?? kwanza kwa uandish huu ameonekana ni mtu anayejua vyema tasnia ya uandish na ambaye amebobea katika matumizi sahihi ya tamathali za semi.

unless na wewe ni wale wale
 

nilikuja na moto sana kuisoma sasa nilivyokuta kinyume na matarajio nikawa hoi
btw naelewa aina hizo unazosema. am well versed in tht area. was just messing up wt him.
hi hi hi hi hi hi hi hi
 
nilikuja na moto sana kuisoma sasa nilivyokuta kinyume na matarajio nikawa hoi
btw naelewa aina hizo unazosema. am well versed in tht area. was just messing up wt him.
hi hi hi hi hi hi hi hi

Hujatulia wewe. Nadhani somo la gfsonwin limekukomboa.
 
Last edited by a moderator:
Hakyanani kwa kweli.. unashindwa hata uanzie wapi, wakati huohuo unaskia serikali inataja maasilimia makubwamakubwa ya ufaulu hujui hata wameyatoa wapi, kimsingi hali ni mbaya.

haya mambo yanayoitwa standardization yanatuharinia watoto kwa asilimia kubwa sana.
mbaya zaid ni kwamba sisi waalimu tukisha mark bado baraza linakwenda kuyamoderate na hapo ndipo shida inapokuja yangetakiwa yatolewe kama jins yalivyo ndipo watu wangejua kwamba hali ni mbaya kaisi gani.

hebu angalia kukiwa na xcter assessment jins inavyokuwa tabu?? mwanafunzi kakaa shule mwaka mzima lkn hata jina la mwl wake wa darasa halijui imagine
 
Enzi za Mwalimu.
cc Matola

Huyo ndiye usiseme kabisa, badala ya watoto kulala na kutuliza bongo zao, saa 9 za usiku tukiamshwa kuwahi foleni ya unga. Usinikumbushe mateso aliyotupa nchi nzima.

Mzee yule, Mungu amlaze anapostahiki.
 

Mkuu Matola, hiyo ndio hali halisi na cha msingi ni kuangalia nini kifanyike, tuache siasa kwenye mambo yanayogusa maendeleo ya taifa. Elimu ni nguzo muhimu sana kwenye kuendelea kwa nchi yeyote kwa karne hii.
 
Last edited by a moderator:
vyakula vinachangia tutoto kukua haraka na kujiglobolaizi kwenye sosho faktazi nyingi,
hensi;
kukua mwili ....kulemaa akili
 
Huyo ndiye usiseme kabisa, badala ya watoto kulala na kutuliza bongo zao, saa 9 za usiku tukiamshwa kuwahi foleni ya unga. Usinikumbushe mateso aliyotupa nchi nzima.

Mzee yule, Mungu amlaze anapostahiki.
Kama Mwamedi?
 
Kama wazazi na walezi tufanye nini maana changamoto ndo hizi
"VV"""

Inabidi wazazi tuwe busy na hawa watoto kuwafanya wawe busy katika mambo ya maana, hususan masomo, michezo na mambo mengine yenye faida kwao, tusiwape nafasi za kuwa idle hata kidogo.

Mtoto akisha fika miaka 10 anatakiwa ajuwe program yake ya wiki nzima ijayo na si akiamka hajuwi afanye nini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…