FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
FF ndo yuleyule au,niliandaa uzi kukuulizia wewe na maralia sugu,nirudi kwa mada,vijana wetu wanachangamoto kubwa sana kabla ya mwaka 2005 simu hazikuwa nyingi na pia simu hazikuwa na teknolojia kubwa kama sasa,sasa sisi tuliosoma miaka hiyo tulikosa changamoto hizo,ila sasa wanafunzi wa baada ya 2005's kuna changamoto,ipad,simu nyingi plus intanet,tablet mitandao ya kijamii mingi,fm radio nyingi,matamasha ya mziki sasa mtoto kama ajitambui anazolewa na ulimwengu wa digitali
"VV"
Isitoshe, watoto wa siku hizi tunawadekeza sana. Hatupo "strict" kama tulivyolelewa sisi.