GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Anaeyemjua vizuri anasema ana 47.Miaka ya passport ni 33...
Bado miaka yake halisi
VIP kuhusu Babu Saidoo??Miaka ya passport ni 33...
Bado miaka yake halisi
Ndiyo Kwanza ana miaka yake 23 tu.
Football Pundits hatuna haja ya Kusubiria hadi Ligi ianze bali tumeshajua kuwa hakuna Mchezaji hapo bali kuna / ana Mbwembwe nyingi tu.Tusubili league ianze tutapata majibu kamili Kwa usajili huu.
Pundits wa UPEFootball Pundits hatuna haja ya Kusubiria hadi Ligi ianze bali tumeshajua kuwa hakuna Mchezaji hapo bali kuna / ana Mbwembwe nyingi tu.
Morrison nae ilikuwa hivihiviTembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili.
Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns FC, Orlando Pirates FC, Kaizer Chiefs FC, Ajax Cape Town FC na Super Sports United wasimuone na wamuache aje kwa wapuuzi na malofa Kariakoo na Kigamboni?
Acheni tu mdharaulike na mchekwe.
Mdogo angu Genta unapitia mateso makali sana.Football Pundits hatuna haja ya Kusubiria hadi Ligi ianze bali tumeshajua kuwa hakuna Mchezaji hapo bali kuna / ana Mbwembwe nyingi tu.
Ya Kuachwa na Dada yako kwakuwa sipendi kupita nae Ali Hassan Mwinyi Road na huwa napita nae sana Mpalange Road asikokupenda.Mdogo angu Genta unapitia mateso makali sana.
Huna sababu ya kuanzisha mvua ya matusi.Ya Kuachwa na Dada yako kwakuwa sipendi kupita nae Ali Hassan Mwinyi Road na huwa napita nae sana Mpalange Road asikokupenda.
Afande Genta RamaTembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili.
Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns FC, Orlando Pirates FC, Kaizer Chiefs FC, Ajax Cape Town FC na Super Sports United wasimuone na wamuache aje kwa wapuuzi na malofa Kariakoo na Kigamboni?
Acheni tu mdharaulike na mchekwe.
I don't have a Dimwit Brother like You.Huna sababu ya kuanzisha mvua ya matusi.
Kumbuka mimi ndiye kaka yako pekee humu jukwaani.
Wake up boy. Am your elder Brother.I don't have a Dimwit Brother like You.
Kwa hiyo hoja uliyojenga hapo juu Ina maana una kili kabisa kuwa Simba wanavyomuwinda Miqson wanawinda Galasa??Ndiyo Kwanza ana miaka yake 23 tu.
TUmsubirie uwanjani...Anaeyemjua vizuri anasema ana 47.
Zoezi la kupimwa umri kwa field litafuata.Tusubili league ianze tutapata majibu kamili Kwa usajili huu.