Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inawezekana kwasababu 33 ni miaka ya kunjunga tu ila hiyo 47 ndo ya kuzaliwa.Anaeyemjua vizuri anasema ana 47.
[emoji1787]Afande Genta Rama
View attachment 2692842
We usimzeeshe mwenzio..!! Yule ni under twenteeeee..!!Ndiyo Kwanza ana miaka yake 23 tu.
Hao wanatumia National ID kitambo, hakuna cheating.Miaka ya passport ni 33...
Bado miaka yake halisi
Huu ujinga wa kufoji umri upo kwenye nchi za kusadikika tu, nchi zenye mifumo ya electronic kitambo hakuna huo ujinga.Inawezekana kwasababu 33 ni miaka ya kunjunga tu ila hiyo 47 ndo ya kuzaliwa.
tusubiri tuoneTembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili.
Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns FC, Orlando Pirates FC, Kaizer Chiefs FC, Ajax Cape Town FC na Super Sports United wasimuone na wamuache aje kwa wapuuzi na malofa Kariakoo na Kigamboni?
Acheni tu mdharaulike na mchekwe.
Hahahaaa!Tembeleeni mitandao ya Michezo ya Afrika Kusini muone jinsi nyie mlivyompamba kwa mwezi mzima hadi jana mlivyompokea lakini mnavyochekwa na kudharauliwa na South Africa Football Pundits kwa kukurupuka kwenu kumsajili.
Yaani Mchezaji awe mzuri Afrika Kusini halafu giants kama Mamelodi Sundowns FC, Orlando Pirates FC, Kaizer Chiefs FC, Ajax Cape Town FC na Super Sports United wasimuone na wamuache aje kwa wapuuzi na malofa Kariakoo na Kigamboni?
Acheni tu mdharaulike na mchekwe.