Skudu Makudubela angekuwa mzuri hivyo angekuwa hapati nafasi katika Vilabu Vikubwa Afrika Kusini?

Amecheza timu kama 200 hivi huyu ni mchezaji mwenye uzoefu kuliko wote Tanzania.
 
Inawezekana kwasababu 33 ni miaka ya kunjunga tu ila hiyo 47 ndo ya kuzaliwa.
Huu ujinga wa kufoji umri upo kwenye nchi za kusadikika tu, nchi zenye mifumo ya electronic kitambo hakuna huo ujinga.
 
tusubiri tuone

Sent from my CPH2371 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…