Damn me!! Kumbe na madam ashasailiwa!!! Yule mwanamke namkubali pia, huwa yuko free na anajielewa pia.
I love you too my baby's dady[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Siwezi kuusemea moyo bana..Ila upendo wangu kwako ni dhahiri..Shahidi moyo wangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]jaman yule dada asikae na mm tu !haha yaan yupo free hatar !kuna swali aliulizwa umewah cheat akasema ana boonge la nyukilia analifanya dec if m not mistaken ! jaman nilichekaaaaaaaaaaaaa
Kama ya janaBaby andaa maswali ya msingi leo..
Kuchukiwa ni kawaida ila usikaze sana msuli kumtetea, subiri siku ikifika utafuatilia usahili na kubaini unayoyaona sasa kama kweli au la.AISEEEEE ,,,BTW NOTNMY STUFF ,,, ILA NITAMTAFUTA COCOCHANEL ,,NIPATE KUJUA NINI SABABU YAWW KUMCHUKIA NAMNA HIYO...
Alikulia pesa zako ??
Siasa????
Anakuitaji ila humpendi ??
Unamhitaji ila alikotolea nje ???
Yaan nini jambo bays hasa alokufanyia mpaka umchukie namna iyo ?????.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Team Ubuyu B
Everything later 4:30!
muosha rungu
Kama kweli una busara bora umshauri huyo cocochanel aikatae interview kuliko na kumtetea jambo ambalo yeye anaweza kujiteteaCOCOCHANEL ,, she is a Strong woman ,decided ,,determined and practical one ,, She is intelligent and sharp that mean if SHE DEFEND A CERTAIN THING OR POINT OF VIEW ,THERE MUST BE A GOOD A VERY GOOD REASONS BEHIND IT...
NIMDADA ANAYEJUA ANACHOKIONGEA NA YES ANAONGEA WITH FACTS THE " EXACTLY FACTS ""
so don't insult/underestimate her because of Your EGO.
Leo darasa naona litajaaShunie linamo emmyta cab ney sakayo joseverest numbisa tukutane saa 10 wapendwa
Hahahaaa [emoji3][emoji3][emoji3]Leo darasa naona litajaa
Ehee ngoja nikaisome nampatia picha hapa majibu yake nacheka mwenyewe[emoji3] ngoja nikaitafute huku nasubiria ya skyhahah duh !alifanyiwa muda kwakwel tena mwanzon mwanzo anaanza huyu dj !was superb !ya demi na ya Madam Mwajuma ndo nilizozifatilia zilikua nzuri sana !yaan nilicheka sana !ni wadada open sana ! hawajui kufake na kuvunga !
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akya kya kya kya kya kya kya kya kya kya kyaHahahaaa [emoji3][emoji3][emoji3]
Bablai tutakuja kuwa wapenda ubuyu aisee..
Utani hadithia baadaye
Leo mambo ya kununa na keyboard hakuna .....make jana nilikuchukua pichaaa
Ngoja kwanza Aspirin huyu huyuu babu au ??Jua mini kuwa Mimi ni mrs Aspirin au?
Ehee ngoja nikaisome nampatia picha hapa majibu yake nacheka mwenyewe[emoji3] ngoja nikaitafute huku nasubiria ya sky