[emoji122] [emoji122] [emoji122] jf!
Kama usingeonana Na asprin ni member yupi ungekuwa radhi kuolewa naye au hata kudate!
muosha rungu
Hakijaharibika kituLimeshajibiwa kule nyuma
Samahani kama nitakukwaza
Hahahaaaa!! Viben 10 vina fujo alafu swaga sifuri.Kwakweli hakuna baya labda vi- Ben 10 kujaza inbox. Ninajifunza mengi mno JF
Sema uliona pesa tu Sio mume [emoji23] [emoji23] [emoji23]We nawe! Tutaachaje kuwa tegemezi sasa!! Uanaume wenu utakuwa nini sasa?!!!!
Nimekujibu coz umenicost mume leo[emoji57]
Du kwakweli hapa sielewi kwasababu wasi hana wanafaulu wengi O-level kwenda high school lakini kwenye nafasi nzito wanawake bado ni wachache. Sijui inakuwaje hii kama vile kuna glass ceiling wanawake hatupenyiKwa wewe uonavyo Serikali ya Tanzania inawapa vipaumbele wanawake inavyotakiwa???
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Una tatizo ww..sio bire??!!Hakijaharibika kitu
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Afu itakuwa kweli manake sky yupo katika madawa madawaYap!
muosha rungu
Kwanini unatumia picha ya ME wakati we ni KE??Yap!
muosha rungu
Umesema unafanya kazi ya kuhudumia watu. Hii ni kazi nzuri lakini inayohitaji kujitoa sana, ni changamoto zipi unakutana nazo?Kwakweli hakuna baya labda vi- Ben 10 kujaza inbox. Ninajifunza mengi mno JF
Sana tu ni muhimu kubadilishana mawazo lakini kuwa mwangalifu kuna wenye roho za birika anataka apate ushauri lakini hakuelezi mipango yakeHahahaaaa!! Viben 10 vina fujo alafu swaga sifuri.
Ni jambo gani unazingatia ktk kuchagua rafiki?
Na unafikiri marafiki wana mchango wowote ktk mafanikio yako?
Antie we think the same daah!! Nimeuliza hilo swali[emoji85] [emoji85] [emoji85]Ni changamotoo gani unakutana nazo wakati wa kuwahudumia watu, na unakabiliana nazo vipi
Ujue interview ni serious DjYap!
muosha rungu
Kama sijakosea huwa kuna vipaumbele huwa mnapewa, unadhani ni kwanini pamoja na kupewa vipaumbele lakini bado wajuzi na wataalamu bado wachache??Du kwakweli hapa sielewi kwasababu wasi hana wanafaulu wengi O-level kwenda high school lakini kwenye nafasi nzito wanawake bado ni wachache. Sijui inakuwaje hii kama vile kuna glass ceiling wanawake hatupenyi
Asante.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sema uliona pesa tu Sio mume [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App