Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Hamna cha ubishi hapa ni kweli...wewe ni age go unatafuta mzee ukampuzikie ili akiaga dunia urithi pesa na mali zake huna lolote...Wanaonijua akina neybright ndio wanakwambia alafu unajitia ubishi, kumbe hivi ni vipaji vyako eeh!!
Wanaotoka na viben ten ni vile hawajajua tu namna ya kuwatumia wazee bwana, hawajui nini wanataka. Ila mie najua nini nataka ninajituliza tuliiii napetiwa tu.Nafikiri hao wanajua kuhudumia na sio kupeti peti
Maana kama wangekuwa wanajua kupeti peti wanawake wenye umri Mkubwa wasingekuwa wanatafuta vi Ben10
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Nilimfata espy pm ndo kaenda nishitaki [emoji81] [emoji81] [emoji81].
20 mara 2 yaani 40[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe kawaida yake kwenda kinyume cha matukio, ndio maana kanikomalia mimi 40+ wakati mtoto wa watu 20 tu.
marioo [emoji15] [emoji15] [emoji15]Azitoe wapi anategemea kufugwa tu.
Ooooh! Basi sawa.Ni avatar tu bibie espy
Hivi ni kwanini unataka kumzeesha mwenzio??? Siye tumepishana miaka miwili basi kama espy ana 45 basi mie 43 sasa hapo utakuwa unanitafuta ugomviacha kujifariji wewe AGE GO
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hamna cha ubishi wala ulalamishi...Tatizo ni kuwa unataka uwaaminishe wewe ni BINTI KIGOLI kumbe ni KIKONGWE, AJUZA a.k.a AGE GO!!!!Sijifariji dogo, sema we ubishi na ulalamishi vipaji vyako ngoja nikubali yaishe. Sawa mtoto mzuri eeh!
Imani yako imekuponya maana umejitadihi sana kuwatetea wazee wenzako[emoji23]Wanaotoka na viben ten ni vile hawajajua tu namna ya kuwatumia wazee bwana, hawajui nini wanataka. Ila mie najua nini nataka ninajituliza tuliiii napetiwa tu.
Hahahaaaa!! Sio unafugwa alafu unaleta jeuri.hahahahahhaha ! we unaagza sminorf ya 3000/ kenyewe kanaulizia mzinga mzima wa hennessy ! unajikuTa unamvuta sikio bila kupenda!ova kanalipa! yaan natoaje 40000/kwa mfano? fatisha ninachoagiza nikiagiza smirnfof blak ice we agiza BALIMI
Hahahaaaa!! Sio unafugwa alafu unaleta jeuri.
Kwakweli baby kanishinda nahis ananiambia mimi ni mzee in indirect way, maana sio kwa kukulazimisha huko na wakati anajua tumepishana miaka miwili tuuWanaonijua akina neybright ndio wanakwambia alafu unajitia ubishi, kumbe hivi ni vipaji vyako eeh!!
Espy anajifanya binti kigoli kumbe wizi mtupu[emoji35] [emoji35] [emoji35]Hivi ni kwanini unataka kumzeesha mwenzio??? Siye tumepishana miaka miwili basi kama espy ana 45 basi mie 43 sasa hapo utakuwa unanitafuta ugomvi
Ohoooooo!! Kumbe!Hamna cha ubishi hapa ni kweli...wewe ni age go unatafuta mzee ukampuzikie ili akiaga dunia urithi pesa na mali zake huna lolote...
Tuache vijana tule maisha
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe kawaida yake kwenda kinyume cha matukio, ndio maana kanikomalia mimi 40+ wakati mtoto wa watu 20 tu.
unataka pesa za watu tu hamna cha kupetiwa wala niniWanaotoka na viben ten ni vile hawajajua tu namna ya kuwatumia wazee bwana, hawajui nini wanataka. Ila mie najua nini nataka ninajituliza tuliiii napetiwa tu.
Haya20 mara 2 yaani 40
Sent from my iDevice using Tapatalk
Kumbe unajijua.marioo [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sent from my iDevice using Tapatalk
Hivi mwenye id ya jose alikwenda wapi? Maana tangu udukue id yake kuna mabadiliko makubwa!!Hamna cha ubishi hapa ni kweli...wewe ni age go unatafuta mzee ukampuzikie ili akiaga dunia urithi pesa na mali zake huna lolote...
Tuache vijana tule maisha
Sent from my iDevice using Tapatalk
Ok sawa, usirudie tena.Yaani najuta kabisa ila nw nishapata funzo