[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ni kwanini unataka kumzeesha mwenzio??? Siye tumepishana miaka miwili basi kama espy ana 45 basi mie 43 sasa hapo utakuwa unanitafuta ugomvi
Wewe sio mzeeKwakweli baby kanishinda nahis ananiambia mimi ni mzee in indirect way, maana sio kwa kukulazimisha huko na wakati anajua tumepishana miaka miwili tuu
Haya.Hamna cha ubishi wala ulalamishi...Tatizo ni kuwa unataka uwaaminishe wewe ni BINTI KIGOLI kumbe ni KIKONGWE, AJUZA a.k.a AGE GO!!!!
Sent from my iDevice using Tapatalk
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi mwenye id ya jose alikwenda wapi? Maana tangu udukue id yake kuna mabadiliko makubwa!!
Hahahaaaa!! Tafadhali sana, mie binti kigoli kabisa.Imani yako imekuponya maana umejitadihi sana kuwatetea wazee wenzako[emoji23]
Unamtia makwenzi tu awe na adabu.hahahha ati kisa unanifikisha high kwendraaaaaaaaa
Sawa binti kigoli mpenda veterans [emoji23]Hahahaaaa!! Tafadhali sana, mie binti kigoli kabisa.
Hahahaaaa!! Huyu mtoto ni changamoto.Kwakweli baby kanishinda nahis ananiambia mimi ni mzee in indirect way, maana sio kwa kukulazimisha huko na wakati anajua tumepishana miaka miwili tuu
Haya.unataka pesa za watu tu hamna cha kupetiwa wala nini
Sent from my iDevice using Tapatalk
Usicheke mae, we haujagundua?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mimi sio Marioo..nimewekeza kwa Ney halafu unaniita mariooKumbe unajijua.
Hata mimi mwenyewe nimehis kitu, ujue amebadilika sanaUsicheke mae, we haujagundua?
Haya.mimi sio Marioo..nimewekeza kwa Ney halafu unaniita marioo
Sent from my iDevice using Tapatalk
hapo sawa kwa maana unataka uuaminishe umma kuwa wewe ni binti kigoliOhoooooo!! Kumbe!
Basi sawa ngoja nikukubalie usije anza ulalamishi na kuniandama kwenye nyuzi zingine nikubali mimi ni mzee.
Sawa mwanangu, mimi ni mzee. Sawa toto juli eeeh!
Something is wrong somewhere!!Hata mimi mwenyewe nimehis kitu, ujue amebadilika sana
Mimi sijui..na sijadukua ID ya mtu yoyoteHivi mwenye id ya jose alikwenda wapi? Maana tangu udukue id yake kuna mabadiliko makubwa!!
Duuuh nimebadilika wapi nyie...Joseverest ni yuleyule tuHata mimi mwenyewe nimehis kitu, ujue amebadilika sana
Something is wrong somewhere!!
Nani huyo kakuita marioo??? Embu nielezemimi sio Marioo..nimewekeza kwa Ney halafu unaniita marioo
Sent from my iDevice using Tapatalk
Baby wewe ndio wa kunifanyia hivyo? nimebadilika wapi..Hata mimi mwenyewe nimehis kitu, ujue amebadilika sana
espy etiNani huyo kakuita marioo??? Embu nieleze