Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ni kwanini unataka kumzeesha mwenzio??? Siye tumepishana miaka miwili basi kama espy ana 45 basi mie 43 sasa hapo utakuwa unanitafuta ugomvi
Huyu ben 10 wako ana vipaji vingi, ubishi, ulalamishi,uandamaji.....