Nataka kumuomba pesa pacha, hapo naandaa mazingira.
Acha kupanic kijana..Piga kazi yakoHater
muosha rungu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nilijua tu. [emoji23] [emoji23]
Duuh..Niliimiss basi..Naamini uliwaambia size ya Kaboom ndo inakufaaMie tayari mbona, au siku ile haukuwepo?
Duuuhhh AISEE HUYU MWANAMKE COCOCHANEL ,AMEKUKOSEA NINI MKUUU ????HUYU BIBIE NTAFWATILIA INTERVIEW YAKE.
emmyta PIA NTAMFWATILIA HAWA MEMBER NI WASTAARABU SANA.
HUWEZ WAFANANISHA NA cocochanel
Yaani ilikuwa kila swali linalohusu hayo mambo ni wewe ndio refference. Vipi haujakutana na pm za usumbufu? Maana nilikupaisha kweli kweli.Duuh..Niliimiss basi..Naamini uliwaambia size ya Kaboom ndo inakufaa
Unadhani hanipendi..Basi tu jeuri na tamaa ndo vinamsumbuaI hope hii imetoka moyoni kabisa pacha. [emoji1]
Unadhani hanipendi..Basi tu jeuri na tamaa ndo vinamsumbuaI hope hii imetoka moyoni kabisa pacha. [emoji1]
AISEEEEE ,,,BTW NOTNMY STUFF ,,, ILA NITAMTAFUTA COCOCHANEL ,,NIPATE KUJUA NINI SABABU YAWW KUMCHUKIA NAMNA HIYO...ukilifanyia interview uniite niskie litakavyo jibu shutuma za ujike dume na shutuma za kuwa hawara wa bashite.
Jeuri na tamaa kwako!!! Acha kunisingizia mpenzi.Unadhani hanipendi..Basi tu jeuri na tamaa ndo vinamsumbua
COCOCHANEL ,, she is a Strong woman ,decided ,,determined and practical one ,, She is intelligent and sharp that mean if SHE DEFEND A CERTAIN THING OR POINT OF VIEW ,THERE MUST BE A GOOD A VERY GOOD REASONS BEHIND IT...HUYU BIBIE NTAFWATILIA INTERVIEW YAKE.
emmyta PIA NTAMFWATILIA HAWA MEMBER NI WASTAARABU SANA.
HUWEZ WAFANANISHA NA cocochanel
demi alifanyiwa interview lini? [emoji33][emoji33][emoji33]
Mbona hukuniita?
Ukweli tunaujua mimi naweJeuri na tamaa kwako!!! Acha kunisingizia mpenzi.
Damn me!! Kumbe na madam ashasailiwa!!! Yule mwanamke namkubali pia, huwa yuko free na anajielewa pia.hahah duh !alifanyiwa muda kwakwel tena mwanzon mwanzo anaanza huyu dj !was superb !ya demi na ya Madam Mwajuma ndo nilizozifatilia zilikua nzuri sana !yaan nilicheka sana !ni wadada open sana ! hawajui kufake na kuvunga !
Siwezi kuusemea moyo bana..Ila upendo wangu kwako ni dhahiri..Shahidi moyo wanguNi kweli kabisa mpenzi, si unajuaga vile kwanu hakuna wa mfano wako eeh? [emoji12] [emoji12]