Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,448
Nahisi sio yeye kabisaa, sio kwa kulalamika kule halafu hamaliziUjue kila mtu anashangaa mhhhhh baby wangu kajua kuniaibisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nahisi sio yeye kabisaa, sio kwa kulalamika kule halafu hamaliziUjue kila mtu anashangaa mhhhhh baby wangu kajua kuniaibisha
Hata miee nilishamuona sana tuuNimekutana nae kwenye uzi wa forex huko anajiita kichpox sijui ana avatar kama yako nimejua ni wewe mie una I'd mbili
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] josse huyu kiboko jaman yaan namfananisha na avatar yake ilivyoNahisi sio yeye kabisaa, sio kwa kulalamika kule halafu hamalizi
Hapana sio mm ingawa naingia ktk nyuzi za forex ila natumia id hii tu!Nimekutana nae kwenye uzi wa forex huko anajiita kichpox sijui ana avatar kama yako nimejua ni wewe mie una I'd mbili
HahahaHivi unaniachaje kwa mfano woiiii utanibeba tu
Basi me nimemuona leo ana signature kwa chini sijui kaandika nini nikasema haya sasa naona I'd ya pili ya muosha masufuriaHata miee nilishamuona sana tuu
Sio kwa malalamiko yale[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] josse huyu kiboko jaman yaan namfananisha na avatar yake ilivyo
Basi sawa kama sio wewe naona soon utakuwa maarufu kama josseverest watu wataojitokeza kukuibia avatarHapana sio mm ingawa naingia ktk nyuzi za forex ila natumia id hii tu!
Hao ni watu wanaotafuta umaarufu kwa njia za panya!
Very pathetic and hopeless individuals!
Ewaaaaaa haya ndio maneno ya kusikia yaan nawaza manyama tu hapa na ndizi na mbegeHahaha
Tuaenea kweeeli huko uchagani.... Tutaenda wote sasa, jiandae!!!!!
Miss Chagga ukuje hukuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwa malalamiko yale
Ila avatar yake ya siku nyingiii kuliko hata ya Muosha naniliuuBasi me nimemuona leo ana signature kwa chini sijui kaandika nini nikasema haya sasa naona I'd ya pili ya muosha masufuria
Ile avatar ya siku nyingiii ujueBasi sawa kama sio wewe naona soon utakuwa maarufu kama josseverest watu wataojitokeza kukuibia avatar
MmhHahaha sitaki umaarufu nataka to create opportunities!
Kwahiyo muosha masufuria ndio kaiba avatar ya watu basi ashtakiwe tu hakuna namna au atafute avatar yakeIla avatar yake ya siku nyingiii kuliko hata ya Muosha naniliuu
We muosha masufuria badili avatar hiyo ujue umeiba ya watu tafuta nyingine ujibrandIle avatar ya siku nyingiii ujue
Ooooh ni zile sikukuu za kuchinja mbuzi, basi sawa auntie. Utanisimulia namna sikukuu ilivyonoga.Hahaha
Aunt wa mie ujue nimealikwa siku kuu tuu, chezea wachaga weye!!!! Kama utakuwa karibu nitakushtua twende wote
HahahaEwaaaaaa haya ndio maneno ya kusikia yaan nawaza manyama tu hapa na ndizi na mbege
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nahisi sio yeye kabisaa, sio kwa kulalamika kule halafu hamalizi
Sijui ka aliiba au ilitokea tu wakawa nazo woteKwahiyo muosha masufuria ndio kaiba avatar ya watu basi ashtakiwe tu hakuna namna au atafute avatar yake