Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa huyu slaa kama "najuwa haitatokea" akiingia ikulu basi kutakuwa na mambo ..!? Fukuzafukuza kazi
wasted :llama: hakuna jipya
Mheshimiwa Rais wangu unayesubiri kuapishwa, Ukianza ugomvi na majeshi unajiongezea tabu.....
Hili jeshi lishazowea kubebwa na watawala...kuna haja sasa liongezewe kazi...hakuna vita Tanzania isipokuwa wanataka kuvichochea wao tu, sasa basi,nashauri tuongee na mzee Museveni kule Uganda, tumwambie ile deal yake na Obama kule Somalia na JWTZ inahitaji kuambulia chochote, najuwa akaunti za akina Mwamunyange,Shimbo na JK zitanona kama za akina Kulaije na Museveni kule Uganda, lakini angalau jeshi litakuwa na shughuli ya kufanya na akina Alshabab kama wanaume kweli.
sio ugomvi na majeshi
ila jeshi na wanajeshi wake lazima waelewe mipaka ya kazi yao na nini wanatakiwa kufanya
na tunata wanajeshi wenye nidhamu na kulitumikia Taifa kwa kujenga na sio kuiba na kutishia wananchi
Chagua Dr Slaa ndugu, tutarekebisha hili jeshi na litakuwa na adabu tu
SASA HUYU SLAA KAMA "najuwa haitatokea" Akiingia ikulu Basi kutakuwa na mambo ..!? Fukuzafukuza kazi
WASTED :llama: HAKUNA JIPYA
Heri haya yaongelewe bungeni lakini sio kwenye majukwaa ya siasa... Slaa is not doing good for this nation.