Elections 2010 Slaa amtaka Shimbo kueleza zilikokwenda sh bil 155 za Meremeta

Elections 2010 Slaa amtaka Shimbo kueleza zilikokwenda sh bil 155 za Meremeta

Alah!! Kumbeee? Now I know what's bihind.
 
Kazi kwelikwei, Seems Ushikaji ndio Nguzo kubwa ya Uongozi wa Mtukufu JK,
Fadhila zalipwa, na Maamuzi ya na effecti wa na Ushoga wa viongozi.

Lets see how far will them drive this,
 
Mheshimiwa Rais wangu unayesubiri kuapishwa, Ukianza ugomvi na majeshi unajiongezea tabu.....
 
"Tumeshitushwa, hatukubaliani na tunalaani tamko la JWTZ na Polisi, linaingilia uchaguzi mkuu na linalenga kuvuruga amani kwani tamko hilo limeficha na kusheheneza malengo ya maslahi binafsi, siyo maslahi ya nchi kama umma unavyoaminishwa, tamko hilo lina agenda ya siri na tunasikitika JWTZ kufanya kazi za polisi," linasema tamko la wanaharakati wa FemACT lililotolewa leo.
 
afadhali hata mimi wamenitasha hawa watu!!
 
Hili jeshi lishazowea kubebwa na watawala...kuna haja sasa liongezewe kazi...hakuna vita Tanzania isipokuwa wanataka kuvichochea wao tu, sasa basi,nashauri tuongee na mzee Museveni kule Uganda, tumwambie ile deal yake na Obama kule Somalia na JWTZ inahitaji kuambulia chochote, najuwa akaunti za akina Mwamunyange,Shimbo na JK zitanona kama za akina Kulaije na Museveni kule Uganda, lakini angalau jeshi litakuwa na shughuli ya kufanya na akina Alshabab kama wanaume kweli.
 
Mheshimiwa Rais wangu unayesubiri kuapishwa, Ukianza ugomvi na majeshi unajiongezea tabu.....

Sio ugomvi bali anamwaga upupu jeshini maana imani ya wale wa chini kwa wakubwa wao itachikichia. Imajini zifichuliwe taarifa za jinsi maduka ya kuuza vitu kwa bei ya chini yalivyohodhiwa na wakubwa na kuwalangua wale wa chini waht will happen?
 
Museveni jana kasema anaweza kupeleka Wanajeshi wa Uganda UPDF elfu 20 nchini SOmalia kama EU watakuwa tayari kulipia gharama za Wanajeshi hao, huyo Museveni ana akili sana ameona awatafutie deal Askari wake ambao kwa sasa kazi zao zimepungua sana kufuatia kudhoofika kwa LRA.

Tanzania nayo ingewaomba UN askari laki moja wa JWTZ waende DRC na Darfur maana ni kuwasidia kiuchumi kuliko kukaa hapa huku Maafande wao wakuu wanalambishwa asali na Watawala wetu na kufanya wajisahau.
 
Hili jeshi lishazowea kubebwa na watawala...kuna haja sasa liongezewe kazi...hakuna vita Tanzania isipokuwa wanataka kuvichochea wao tu, sasa basi,nashauri tuongee na mzee Museveni kule Uganda, tumwambie ile deal yake na Obama kule Somalia na JWTZ inahitaji kuambulia chochote, najuwa akaunti za akina Mwamunyange,Shimbo na JK zitanona kama za akina Kulaije na Museveni kule Uganda, lakini angalau jeshi litakuwa na shughuli ya kufanya na akina Alshabab kama wanaume kweli.

Junius hii kweli kabisa ,inabidi tuihamasishe ,hawa jamaa wamejisahau kabisa . Wapo wapo tuu. Kama vipi ianzishie thread ya nguvu.
 
Hongereeni FEMACT, kwa hakika mtasikika, tena nyie mna nguvu sana ya umma, nendeni mpaka kwa mabalozi, waelezeni hilo, ikiwezekana andaeni maandamano, sisi tutakuja kutembea nanyi. BRAVO
 
Mungu Baba Mbariki kila mwenye mapenzi ya kweli na Taifa letu; awe JK au Dr. Slaa. Hawa wote ni wa Tanzania. Mpaka sasa, nashawishika kuamini kuwa Slaa yuko tayari kuifia nchi yake. Je, mtu wa namna hii zawadi yake ni kumkabidhi shida za wa Tanzania? I love Slaa.
 
Kweli kabisa jeshi letu litafutiwe kazi huko Somalia limekuwa jeshi la kula bure kulala bure, leo linatafuta visingizio visivyo na maana ili lianze kukimbizana na wananchi wake mitaa ya kariakoo lionekane linafanya kazi.
 
Wameongeza kuwa Yule atakaye badili maamuzi ya watz kwenye uchaguzi (uchakachuaji) atakuwa ni adui namba 1 wa taifa hili. Very good Fem Act
 
sio ugomvi na majeshi
ila jeshi na wanajeshi wake lazima waelewe mipaka ya kazi yao na nini wanatakiwa kufanya
na tunata wanajeshi wenye nidhamu na kulitumikia Taifa kwa kujenga na sio kuiba na kutishia wananchi

Chagua Dr Slaa ndugu, tutarekebisha hili jeshi na litakuwa na adabu tu

Heri haya yaongelewe bungeni lakini sio kwenye majukwaa ya siasa... Slaa is not doing good for this nation.
 
Mwaka huu utafoka hadi hiyo Mishale yako itaacha kuota.

Ikiota basi utajikuta unairusha na kuchoma ndugu zako wa KIJANI.
Heri haya yaongelewe bungeni lakini sio kwenye majukwaa ya siasa... Slaa is not doing good for this nation.
 
Back
Top Bottom