Hamis Juma
JF-Expert Member
- Nov 4, 2011
- 2,229
- 2,272
Ahaaaa kumbeeee!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi watz tule ugali na mlenda tu ndio level zetu
Bila kumsahau propesa pumba! Watakua ma sleeper agent wa LumumbaDk Mihogo ni sleeper agent,anayebisha atajijua.
Nchi hizi masikini ni dampo mkuu.
Kuna kila aina ya mtu humu, kama Marekani waliweza kupenyeza ma Sleeper agents ndani ya Serikali ua Urusi na KGB yao watashindwa kweli kupenyeza huku kwetu ambapo bado hata mawasiliano ya Ikulu yalikuwa yanatumia email za domain ya yahoo.??
unamaanisha General au yule mtaalamu wa IT kule EMI?Nilisikia Al sisi nae ni pandikizi.
Mama myahudi baba mmisri
Je ni kweli
Mkuu alikua anaitwa Mikhail Gorbachev sio Yeltsin hao ni watu wawili tofauti waliowahi kuwa Marais wa Urusiniliwahi kuckia kuwa Yelestin Gorbachev rais wa Urusi zama zile inasemekana alipandikizwa na Marekani yaani kuwa alikuwa mmarekani pia, na Soviet ilikuja kuvunjikia mikononi mwake