Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

Jeshi letu lipo vizuri hakuna sleepers agent kama walivyofanya Nigeria na kuwadaka watatu
 
Nchi hizi masikini ni dampo mkuu.

Kuna kila aina ya mtu humu, kama Marekani waliweza kupenyeza ma Sleeper agents ndani ya Serikali ua Urusi na KGB yao watashindwa kweli kupenyeza huku kwetu ambapo bado hata mawasiliano ya Ikulu yalikuwa yanatumia email za domain ya yahoo.??
na yule mbunge wa singida aliyeahidiwa urais wa tanzania na marekani
 
Huu uzi ni kama umeclick kwa mind yangu!

Namkumbuka chalii mmoja tulisoma nae chuo, huyu hakika alikuwa ni sleeper agent wa TUTSI EMPIRE dogo kainflitiate hadi jeshini na sahivi ni mgavi huko jeshini na ana nyota3!
Dada zake na nduguze wote wako na nyadhifa huko kwa Kagame!!
 
Bongo wamejaa SLEEPER AGENTS kutoka karibu kila nchi (maana TZ ni kama DANGURO) Na kwa bahati mbaya wengi wao wako kwa ajili ya KUTUDHOOFISHA ki-UCHUMI. Wanazisoma FURSA, Udhaifu wa VIONGOZI wetu, kisha wanatoa/wanapeleka RIPOTI kwenye nchi zao. Mwiso ndio tunasikia kutoka VYANZO tusivyo vitarajia, vinakuja na TAARIFA na TAFITI.

Tunazo jiuliza zinatoka wapi.
 
Nchi hizi masikini ni dampo mkuu.

Kuna kila aina ya mtu humu, kama Marekani waliweza kupenyeza ma Sleeper agents ndani ya Serikali ua Urusi na KGB yao watashindwa kweli kupenyeza huku kwetu ambapo bado hata mawasiliano ya Ikulu yalikuwa yanatumia email za domain ya yahoo.??
Hawa maprofesa uchwara si watu kuwaamini.
 
Back
Top Bottom