Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

Ile movie aliocheza Angelina kama Evelyn Salt inasisimua sana
 
Hizi njia siamini kama zinatumika sana kwa nchi za kiafrica ukitaka kupata data we toa mkwanja hadi nyaraka muhimu za ikulu unaletewa!

Waafrica wanapenda sana hela
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Generali mkuu





General Abel Fattah Al sis alizaliwa tarehe 19/11/1954 mjini Cairo na wazazi wote raia wa Misri, mama yake ni Soad Ibrahim Mohammed Al shishi asili yake mji wa Alexandria Mmisri orijinal sasa hebu fafanua kidogo kuhusu yeye mkuu
 

Attachments

  • upload_2016-11-6_11-38-3.jpeg
    5.7 KB · Views: 100
Duuuuuuuu
 


General Abel Fattah Al sis alizaliwa tarehe 19/11/1954 mjini Cairo na wazazi wote raia wa Misri sasa hebu fafanua kidogo kuhusu yeye mkuu
Yaliandikwa mengi kuhusu Al sisi pindi alipochukuwa cheo hicho kikubwa.

Kuna mwandishi wa habari aliandika makala kuwa ni alizaliwa kwenye Gamaleya quarters ambapo walikuwa wanaishi wayahudi.

Pia waliandika mengi kuwa baba yake alikuwa ni mfanyabiashara mkubwa na alioa mwanamke wa kijew toka Morocco na kuzaa nae watoto wanane

Labda hii ya sleeping cell yaweza kuwa kweli kwani Jew walikuwa wa kwanza kumpongeza
 


duuh tusifukue makaburi mkuu maana kazi kweli kweli
 
Kiongozi, hongera sana Umetoa Elimu ya maana sana. Ila kitu cha pekee ni raia kuwa na uzalendo kwa Taifa lako. Kitu pekee ambacho hupelekea mataifa wanaotumia Sleeper Agent ku fail ni Uzalendo.
kwa mfano mtu katoka Tz kwa scholarship akarudi nchini tayari kashapandikizwa, kunachangamoto kubwa sana mtu huyu kwa sababu za kiubinadamu kuja kuwasaliti ndugu zake Kaka,dada,mama, baba (Taifa lake)

Sijawahi kufanyakazi ktk idara nyeti za kiusalama ila kunawakati napata maswali mengi sana kwa baadhi ya mambo ninapo yaona au kusikia...naamini wengi wetu mtakuwa mshashuhudia unapita mjini au mitaani unakuta Raia wa kigeni wapo huru kabisa wanapiga picha maeneo yetu, watu, nk. Je umehijiuliza kwa nin wanapiga? na hizo picha zinaenda kutumika wapi?

Kuna story moja alinisimulia mzee mmoja kuna raia wa kigeni walikuja miaka hiyo kama watu wa dini, siku moja wakaenda kutembea milimani wakiwa na wenzake kilichomshangaza ni huyo raia kuwa na Tatoo mgongo wote (ukristo hauruhusu kujichora) kumbe Tatoo hizo ni ramani ambayo inawaelekeza mahali ambapo kunamakaburi, na hayo makaburi kumbe sio ya watu bali ni mahali wakoloni inasemekana walizika mali...

Ni vizuri kuwa na uzalendo na Taifa letu ili sisi na ndugu zetu na mali zetu tuwe salama, kuna mbinu nyingi zilikuwepo, na zina zidi kuongezeka kutokana na maendeleo ya kitecknolojia kuhakikisha mbinu za kijasusi zinakuwa juu sana ndani na nje ya kila Taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…