Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
The work of abduction continuesNawaza kuibadili kwa kimombo
Kweli itatuchukua siku 40 [emoji2957][emoji2957]
Sent from my iPhone using Tapatalk
Hongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini"
Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.

No Hate No Fear.
#KaziNaBataHongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini"
Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.
Kazi na bata ina mvuto kwa wavivu. Mwenye akili anajua kabisa jinsi tulivyo nyuma pia culture yetu ya kupenda ke-relax badala ya kufanya kazi, slogan kama hii itazidi kudidimiza nchi nyuma. Infact siku za nyuma tumekuwa tunafuata hii slogan (nchi nyingi za Afrika) ya kazi na bata ndiyo maana tumeshindwa kujikwamua. It is very sad kwamba mtu mwenye exposure kama Zitto, ambnaye ameshasafiri nje na kuona nchi nyingine wanavyochapa kazi ku-compaire na sisi anataka kutudanganya tuzidi ku-relax badala ya kufanya kazi.Bado ni slogan ya kizee na mvuto wake ni kwa wazee zaidi. Hiyo kazi na bata ina mvuto, na ni ya kisasa zaidi kuliko outdate slogan ya ccm.
Nawaza kuibadili kwa kimombo
Kweli itatuchukua siku 40 [emoji2957][emoji2957]
Sent from my iPhone using Tapatalk
The work of abduction continues
#KaziNaBata...!