Slogan ya CCM 2020 Kuelekea uchaguzi"Kazi ipo Kazini"

Slogan ya CCM 2020 Kuelekea uchaguzi"Kazi ipo Kazini"

Freed Freed

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
6,547
Reaction score
7,167
Hongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini"

Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.
 
#kazi na bata
hatutaki kusikia upuuzi toka ccm tena
 
Hongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini"

Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.

Bado ni slogan ya kizee na mvuto wake ni kwa wazee zaidi. Hiyo kazi na bata ina mvuto, na ni ya kisasa zaidi kuliko outdate slogan ya ccm.
 
Kaaz kweli kweli

Jr[emoji769]
 
Pamoja na kwamba slogan hii ya hapa ni kazi tu ilituletea ushindi katika nafasi ya Urais na wabunge lakini kifalsafa na kiuchumi naona haijakamilika kwa sababu haianishi matokeo ya kazi ni nini.
Kauli mbiu itakayofaa kwa mwaka 2020 ni " Hapa kazi mbele kipato" au " Hapa kazi tu, matokeo fedha"
Mwalimu Nyerere alisema fedha si msingi wa maendeleo bali ni matokeo yake.
Hapa alikuwa na maana ya bila kazi hakuna fedha.
Kauli mbiu baada ya kupata uhuru ilikuwa "Uhuru na kazi"
Hii ilikuwa inatoa angalizo kwa wanainchi kuwa wamepata uhuru wa kujitawala lakini sio uhuru wa kutokufanya kazi. Pia kauli mbiu hii ilikuwa na vitu viwili , kazi na uhuru.
Kauli mbiu ya hapa ni kazi haionyeshi manufaa yoyote yatakayopatikana baada ya hiyo kazi tu.
 
Hongereni sana CCM kwa slogan yenu hii kuelekea uchaguzi 2020 "Kazi Ipo Kazini"

Mtu anaweza kuchukua siku 40 kuchambua maana ya slogan hii. Ni bonge la Slogan. Nimeiona sehemu akiwa ameandika Kgogo2014.
#KaziNaBata
 
Kwa slogan nzuri na tamtam hatuna mpinzani Duniani, kutekeleza ndio tatizo ambalo limekosa dawa.
 
Bado ni slogan ya kizee na mvuto wake ni kwa wazee zaidi. Hiyo kazi na bata ina mvuto, na ni ya kisasa zaidi kuliko outdate slogan ya ccm.
Kazi na bata ina mvuto kwa wavivu. Mwenye akili anajua kabisa jinsi tulivyo nyuma pia culture yetu ya kupenda ke-relax badala ya kufanya kazi, slogan kama hii itazidi kudidimiza nchi nyuma. Infact siku za nyuma tumekuwa tunafuata hii slogan (nchi nyingi za Afrika) ya kazi na bata ndiyo maana tumeshindwa kujikwamua. It is very sad kwamba mtu mwenye exposure kama Zitto, ambnaye ameshasafiri nje na kuona nchi nyingine wanavyochapa kazi ku-compaire na sisi anataka kutudanganya tuzidi ku-relax badala ya kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom