Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajifanya mmesahau mapema yote hioNi ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu
Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
Beauty beauty yaan kweli mizuzu yaan bora wangekaa kimya mwanaume mzima eti beuty beuty manara hakukosea kweli kusema utopolo wenye akili wawili
sema Byuti byuti 😂😂😂😂😂Huu uzi umejaa vibwengo tupu.
Wewe siyo wa kujiaibisha kiasi hiki. Kama hujui lugha ingekaa kimya au muulize Scars atakufafanulia.sema Byuti byuti [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukiichukia hiyo kauli kunyaNi ajabu sana timu kuwa na slogan ya kike kike.
Byut byut ni urembo urembo.
Mwaka huu mtaona aibu sana na urembo wenu
Siku mkifungwa msilaumu kuandikwa' warembo wapigwa viwili'
🤣Tulieni mkijitingisha itavunjikia ndaniView attachment 2312548