Smart kitochi cha kampuni gani ni rahisi kutoa lock na kuweka laini nyingine ya kampuni tofauti?

Smart kitochi cha kampuni gani ni rahisi kutoa lock na kuweka laini nyingine ya kampuni tofauti?

Nyaka-One

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2013
Posts
4,730
Reaction score
6,736
Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
 
mbona mimi nilinunua mbagala 50 ilikuwa inasoma line zote tu,ila juzi nimeenda kuuliza nikaambiwa voda 75k,tigo 80k kwamba zimedimika.

nikaishiwa pozi.
 
Back
Top Bottom