Smart phone yako ya kwanza kutumia ilikuwa aina gani?

Smart phone yako ya kwanza kutumia ilikuwa aina gani?

Sikumbuki maswala ya Model maana enzi hiyo nlikua sijui hizo mambo za model mimi.

1.Siemens

Haikua yangu nili irithi toka kwa bi mkubwa nakumbuka alinyeshewa na mvua ikaloana akaisusa, nikaishi nayo mara pap natoka shule hyo siku kitu kinawaka. Ndio ikawa yangu tena.

2.Motorola

Sijui maswala ya model narudia najua tu jina, ilikua ndio kitu yangu ya kwanza kutoa hela mfukon ilikua Nyembamba mithili ya Nokia Express Music, nilinunuaga sijui sh ngap ila it costed me kwa kipindi ile nilisumbua mno mno mno.

Nikiweka Memory yangu ndani tunasikiliza mziki Dom zima, Enzi hzo simu natumia kwa mziki tu.

mana sijawahi kupgiwa simu tangu ninunue simu,kwanza nani anipigie.
 
Huawei Y511 Mlimani City kwenye promosheni ya Tigo hapo ni baada ya kuvunja vibubu vyangu vitatu tofauti tofauti nilichukua 195000 kama sijakosea ila haikuvuka laki 2
Aisee hizi simu nazikumbuka za promo na bei yake Ni 195k tu na inatumia Tigo line pekeee, na kabla ya Hapo kiulikua na Huawei y300 zilivumaga sana
 
Back
Top Bottom