Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
nakumbuka simu kubwa kumiliki nilianza na nokia n73
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiiflash ilikua shida huwezi kupata 3G+ inabaki 3G tuYeah wewe unazikumbuka vizuri. Mimi nilimpelekea jamaa mmoja akaiflash ikawa inatumia mitandao yote
watoto wa kikwete tutaijulia wapi chief😂Kijana unaijua NOKIA SATE SIRII TENI ?
🤣🤣🤣
Samsung Galaxy Ace 2011Habari mwana JF.
Smart phone yako ya kwanza kutumia (kununua, kununuliwa au kupewa) ilikua aina gani?
Binafsi ya kwanza kununua iliitwa xbo😀
Ilikufa baada ya mwezi mmoja.
Wewe ndio ulikuwa huna au ulikuwa kijijini. Mwaka huo Mimi natumia Samsung galaxy S1900
Nachokumbuka kipindi hicho nimegoogle sana material ya chuo na kuangalia porn sana. Sikumbuki hata kama mtandao ulikuaje kipindi hichoUkiiflash ilikua shida huwezi kupata 3G+ inabaki 3G tu
hizi zilikua na bando zake kama kumbukumbu ziko sawablackbery curve
ee unaingia social afu unapata bando za blackberryhizi zilikua na bando zake kama kumbukumbu ziko sawa
ni miaka ya 2008s ivi bado nilikua na nokia c3ee unaingia social afu unapata bando za blackberry
nazijua bado ilikua ni java phones zenye iosni miaka ya 2008s ivi bado nilikua na nokia c3
hapo voda bado wanavocha za kuchana kama paketi ya condomnazijua bado ilikua ni java phones zenye ios
zile shiva😂😂😂hapo voda bado wanavocha za kuchana kama paketi ya condom
hizohizo ukizipiga na toch kali unasoma namba zote za ndanizile shiva😂😂😂
Hakika mkuu🤣🤣🤣hizi zilikua na bando zake kama kumbukumbu ziko sawa