Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Watu wa blackberry mlikuwa special mlisumbua sana 😅😅..Blackberry ilikua unyama sana kizazi cha sahv hawawezi kuzielewa hzo cm 😀😀
Kuna dogo nimemuwazia maana kipind hicho mzee wake walikuwa mjeda na wapo wawili yeye wa mwisho ndo alinunuliwa hiyo simu na mwenzie ni wa kike ,basi alikuwa wa kishua.
Mzee wake alistaafu mwaka 2010 kuja mbele huku maisha yalimpigq balaa mpaka akawa bodoboda ,basi alikuwa na blackberry alikuta wakishua sana aisee😅😅.