Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Watu wa blackberry mlikuwa special mlisumbua sana π π ..Blackberry ilikua unyama sana kizazi cha sahv hawawezi kuzielewa hzo cm ππ
Mastaa au wenye hizo simu wakiingia mtandaoni wanaandika "Meet me on BB"Watu wa blackberry mlikuwa special mlisumbua sana [emoji28][emoji28]..
Kuna dogo nimemuwazia maana kipind hicho mzee wake walikuwa mjeda na wapo wawili yeye wa mwisho ndo alinunuliwa hiyo simu na mwenzie ni wa kike ,basi alikuwa wa kishua.
Mzee wake alistaafu mwaka 2010 kuja mbele huku maisha yalimpigq balaa mpaka akawa bodoboda ,basi alikuwa na blackberry alikuta wakishua sana aisee[emoji28][emoji28].
Nilianza na iyoiyo,then nikaswitch to L7 ila ilikuwa inakaa chaji masaa 2 tu!Back in the daysβ¦Motorola L6
Tecno P5Habari mwana JF.
Smart phone yako ya kwanza kutumia (kununua, kununuliwa au kupewa) ilikuwa aina gani?
Binafsi ya kwanza kununua iliitwa xbo[emoji3]
Ilikufa baada ya mwezi mmoja.
Hata mimi ilikuwa simu yangu ya kwanza ( nyeupe)
hizi simu bwana zilikua na bando la tigo No mb wala nini 24hr internet Unatumia mpk unachoka ππ πWatu wa blackberry mlikuwa special mlisumbua sana π π ..
Kuna dogo nimemuwazia maana kipind hicho mzee wake walikuwa mjeda na wapo wawili yeye wa mwisho ndo alinunuliwa hiyo simu na mwenzie ni wa kike ,basi alikuwa wa kishua.
Mzee wake alistaafu mwaka 2010 kuja mbele huku maisha yalimpigq balaa mpaka akawa bodoboda ,basi alikuwa na blackberry alikuta wakishua sana aiseeπ π .
Habari mwana JF.
Smart phone yako ya kwanza kutumia (kununua, kununuliwa au kupewa) ilikuwa aina gani?
Binafsi ya kwanza kununua iliitwa xbo[emoji3]
Ilikufa baada ya mwezi mmoja.
Tecno H6 mwaka 2014
Nadhani nilishawahi kulisema mahali ila sikumbuki ni wapi humu jukwaani
Nina kumbukumbu hiziNadhani nilishawahi kulisema mahali ila sikumbuki ni wapi humu jukwaani
View attachment 2725367
Hii ndio smartphone proper niliyoanza kutumia. LG Optimus L3. Mwaka 2012 hiyo still nikiwa nayo nikaja honga mwanamke.
Mimi yangu ilikuja kuzima tuu ghafla nikapeleka kwa fundi Ubungo pale akanizungusha wee mara anasubiri vifaa kutoka Kenya, mpaka leo nimeshamsahau hadi sura na simu nikamuachia.LG L3 E400 ilikuwa mwaka 2013 ndio nimeanza chuo first year, nakumbuka kwa darasa letu kipindi cha orientation nilikuwa na smartfone peke yangu na huyo dada alikuwa na samsung min pocket kale kadogo.