Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nitafute michepuko ya kutumia nayo.Asa talaka ya nini mwenza?
Unajua mchaga mjanja wa kutafuta pesa tu, ila kwenye kutumia yuko kama hayawani mbele ya mwanamke.
Usiondoke mwenza, njoo tumchune na kumparasa mume MO11.
Zikiisha atapata akili mpya ya kutafuta
Mie mzungu, tutafichiana siriNgoja nitafute michepuko ya kutumia nayo.
Hamna shida mke mwenza, ndio maana nakupenda.Mie mzungu, tutafichiana siri
Umeona eeeHamna shida mke mwenza, ndio maana nakupenda.