Samahani kwa kuchelewa kureply njia nzuri na ya haraka ni kutupigia simu au WhatsApp.
Unaweza kutumia mawasiliano yako kwa mazungumzo ya Gharama za kumfuata mteja mkoani sababu inategemea na mkoa uliopo.
Gharama za mfumo wetu wa Shared zinaanzia 180,000/= paka 540,000/= unaweza kutugoogle, SmartDuka Pro utaona website yetu kisha ingia sehemu imeandikwa Pricing utaingia utaona kunavifurushi vya aina tatu pamoja na features zake kwa kila kifurushi/ package.
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.