Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu.
Mfumo utakusaidia kuhamisha stock sehemu moja kwenda nyingine . Mfumo utakusaidia kujua mauzo ya siku, wiki, mwezi na mwaka. Mfumo utakusaidia kuprint barcode kwa ajili ya bidhaa zako. Mfumo unatoa risiti za mauzo.
Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya Tsh TSh 72,000 Kwa Mwaka Mzima.
PIGA/ UJUMBE/ WhatsApp: 0711414246 / 0621454246
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.
Mfumo wetu huu unauwezo wa kufuatilia na kurecord Mauzo, Faida Hasara, Kodi, Mfumo wa Mauzo yani POS, Unasupport mfumo wa Barcode nanyingine nyingi, inauwezo wa kutambua Stocks ya bidhaa zilizopo pia. Mfumo huu unakusaidia kuendesha Duka lako hata uwapo mbali nalo nakuzuia udanganyifu
SmartDuka Pro inahifadhi kumbukumbu za mauzo yako yote na kukukokotolea bei kulingana na idadi ya bidhaa unazo uza/ faida, hasara na ukitaka itakuambia chenchi ya kumrudishia mteja.
Mfumo utakusaidia kuhamisha stock sehemu moja kwenda nyingine . Mfumo utakusaidia kujua mauzo ya siku, wiki, mwezi na mwaka. Mfumo utakusaidia kuprint barcode kwa ajili ya bidhaa zako. Mfumo unatoa risiti za mauzo.
Je unapata tabu kujua ni bidhaa gani zimeisha au zimekaribia kuisha? Na unapata wakati mgumu kujua mzunguko wa bidhaa yako? SmartDuka Pro inauwezo wakukupa taarifa pale bidhaa inapokaribia kuisha na ikiisha pia inaonesha utokaji wa bidhaa kwa mwaka mzima mfano: kuanzia January mpaka December.