SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

SmartDuka Pro Software: Simamia Biashara Yako / Fuatilia Stock, Mauzo, Matumizi na Faida / Epuka Udanganyifu

Wazalishaji ( kufanya production) wanaweza list inputs zote (raw materials each item) kwenye mfumo..mfumo unaweza kufanya accounts statements Kama income flow,cash statement and balance sheets?

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Ndio mkuu, Kuna Manufacturing Module inafanya yote hayo Kwenye mfumo wetu.
 
Biashara Aina Zote Zinaweza Kutumia Mfumo

  • Fashion & Clothing
  • Departmental Stores
  • Medical and Pharmacy
  • Footwear, Liquor shops, Sanitary & Hardware
  • Salon & Spa
  • Home Appliances & Digital
  • Restaurants & many more
  • Retails and WholeSale
 
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa
 
Je, upo nyumbani, hotelini, shambani unakagua mazao yako au upo safarini kwenda kumsalimia bibi kijijini? SmartDuka Pro itakuambia nini kinaendelea kwenye biashara yako au dukani kwako kwa kufuatilia mauzo, matumizi, madeni, faida, hasara, malipo ya wafanyakazi, taarifa za wateja na kadharika., bidhaa gani inakaribia kuharibika (expire).

Unachotakiwa ni kuwa na kompyuta/Laptop au Simu iliyounganishwa na intaneti.
 
Kwa utunzaji na uifadhi wa mali zako kirahisi na usalama epuka udanganyifu kwenye biashara yako. Inamanage Stocks, Mauzo, Mapato, Matumizi pamoja na Faida.
 
Tumia Mfumo wa SmartDuka Pro sasa.
IMG_20210616_122850_301.jpg
 
Mfumo unafanya kazi kwenye PC / Computer,Tablet na Simu. Kwa Gharama ya Tsh TSh 72,000 Kwa Mwaka Mzima.
 
SALES / EXPENSES

Mfumo utakusaidia kufanya mauzo kwa kutumia barcode scanner na pia kutoa risiti.
 
Biashara yako

Ufanyaji kazi wako utaboreshwa na SmartDuka Pro, kuwa wa kisasa.
 
SmartDuka Pro: Get Everything you need confidently to run your business.
 
Je unapata tabu kujua ni bidhaa gani zimeisha au zimekaribia kuisha? Na unapata wakati mgumu kujua mzunguko wa bidhaa yako? SmartDuka Pro inauwezo wakukupa taarifa pale bidhaa inapokaribia kuisha na ikiisha pia inaonesha utokaji wa bidhaa kwa mwaka mzima mfano: kuanzia January mpaka December.
 
Boresha biashara yako sasa kwa kukusanya taarifa sahihi za mauzo ya kila kitu ulichonunua kwa ajili ya Biashara yako. Angalia Stoo ya bidhaa na kinachobaki, kinachouzwa na kinachopendwa zaidi na wateja wako ili kuepeka kununua bidhaa zisizopendwa zaidi kwa idadi kubwa
 
Back
Top Bottom